Hahaha mkuu nimecheka ujue mpaka jirani nahisi kasikiaMwanaume Wa Dar Anaelezea Umama Wake huku akijichekesha
hiyo story ulipoichukua unauhakika iliishia hapo!
Hakika mkuu wewe nomawewe ndiyo unaleta umama
utalalaje na katoto kadogo
mwanaume wa kweli ana lala na kina Kim Kardashian,sepenga,zarr etc
Pole sana kama sitakusidia chochoteNa kweli hutonisaidia chchote !!
Hahahah Nani mkuu huyo!Dah...uko kama jamaa furani
Mkuu ndio umetoka kuhitimu MEMKWA nini ""!?
Kwahiyo alikua anaota mkuu?mtu mwenyewe Nkola ndoto
Unapaswa ujue kwanza nini kiliendeleaPunga
Dah...jamaa fuRani tuHahahah Nani mkuu huyo!
Cjakuelewa ,kama vile unaota!
Kwa hiyo alipaswa kuliwa mkuu?Kama hukumla huyo demu, basi wewe ndezi.