Hatonisahau huyu binti

Kuna watu wanastahili kutunukiwa vyeti vya upumbavu uliokithiri.

Wafanyiwe na sherehe, wakabidhiwe vyeti kwa msafara wa matarumbeta!

Mfano: Bachelor degree in extraordinary foolishness and associated outstanding stupidity!

Acha nilale mimi.
Ianzishe tu mkubwa
Utatupatia wengi tu
 
Habari zenu wakuu

Ni miaka kadhaa wa kadha imepita , wakati niko chuo nilikuwa nimepanga sehemu furani hivi , Sasa huyo jamaa mmiliki wa nyumba alikuwa na shemeji zake wadogo wadogo. Binti mmoja akawa amepotea mi sikujua kaenda wapi . kumbe alikuwa anafanya kazi za ndani sehemu furani hivi wakati anatoka alikuwa ni binti mdogo ndo vititi vinaanza kuchomoza tu yaani hata kumfikiria tu huwezi.

Mwaka mmoja hivi na nusu akarudi kwa shemeji yake , salaaale aki ya Nani biti alikuwa ameumuka kama andazi lokozwa hamila , amekuwa Bonge balaa .

Siku hiyo akajiganya amenisahau huku na mimi anajiuliza hivi ni yeye au dada yake! walau

Akiwa na dada yake akauliza hivi huyu ndo nkola au namfananisha sister ake akasema ni yeye kwani vipi !? Akamwambia mpaka leo bado yupo tu! dada akeakamwambia ulitaka afe akasema no ila.....dada yake kamwuliza ila nini! akavunga akasema achana naye kwanza anatuchora tu.

Akipita anatingisha msawanda na hivi alijaliwa Acha tu . shida yangu msabwanda sinaga hamu nayo, Mara aniulize nimependeza? Majibu yangu mabovu siku zote kama ungependeza ungekuwa umeshaolewa ! Na yeye anasema mi mrembo wanaume wananiogopa . nabaki nacheka tu

Alikuwa ananivizia mno kwenye bomba napoenda kuteka maji atakuja yaani we nkola mbaya sana ! Namuuliza ubaya wangu uko wapi ? Anapaparika kwanza wewe dogo sana nakuburuza mpaka hutatembea kabisa jibu langu kubwa lilikuwa moja tu" wewe bado mdogo nitakutoa ulimi bure" kinajifaragua huniwezi weeee

Siku moja kikaja geto kikavua dala kikaingiza ndani mwanaume napiga msuli wa UE TV inaendeleza mziki huku lap top iko kitandani na makaratasi zaguli zote yaani hutapenda. Kikajitupa pwaaaaa! Kwa kitanda kikaanza nipe tope niangalie video za kuto... M..bana nkakiambia mi MZEE hayo mambo siyawezi haina hayo kinadai nikipe nikakipa kikaanza kucheza picha zilizokuwemo .

Mara ooooh nkola hivi unanionaje nkakiambia kawaida sana hata kudindish siwezi we siyo levo yangu

Hahahah Acha kijishebedue
Hivi chaputa mnashida gani
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom