Hatoki MTU hapa

Baba Kapompo

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2013
Posts
1,344
Reaction score
468
Mtu na Mkewe walikuwa
bado wamelala asubuh,m2
akabisha hod mke akaenda kufungua mlango na
kukuta kumbe alikuwa n mchepuko wake.
Mke:unataka nn We Mpumbav?
Mume:nan Hyo Unam2kan
Mke;kuna mtu anakichwa km nenda urudi baadae..
Mchepuko;na Ww Pua Km Poa!
Mke;miguu km maxaa2 urud.
Mchepuko;maskio km sichelew sana.
Mke;ondoka Hpa Mjinga Ww...
Akafungua Mlango Mume"mwambie Ana Macho
Kama Ctok Leo Ng'ooo .... ..
 
Heshimu mgawanyo wa majukwaa uliowekwa hapa JF....hii thread yako ni ya jukwaa la jokes. Zipeleke huko stori za namna hii
 
Iko poa ila jukwaa sio sahihi mkuu.

macho kama jukwaa sio lake
 
Wanasema, umebugi men. Peleka jukwaa la Vituko
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…