Kwenye mkopo wako inakatwa BIMA.Je, nikiwa nimekopa Mkopo katika Benki yoyote nchini Tanzania (NMB as case study) alafu kabla sijamaliza kulipa Mkopo huo, Nikafariki. Je, Mkopo huo bado utatakiwa kulipwa ? Kama ni ndio, je ni nani atawajibika kulipa ?
Naomba Ufafanuzi pamoja na msimamo wa Sheria katika jambo hilo