Elias Misinzo Maligo
Senior Member
- Apr 7, 2019
- 140
- 122
Hapo ndiyo ujue mtu asiyejua anachoandika.Umemuuliza swali zuri sana
Kwa kweli ni kicheko kikubwa sana.Siku wanachama watakapoamua kuchagua Mwenyekiti mwingine watafanya tu na wala hawatasubiri kuambiwa na wanaCCMMimi nasoma comments nabaki nacheka kwa wanaodai kwa bidii kubwa Mbowe atoke si wanachama wa Chadema! Kwa nini wasiwaachie Chadema wenyewe wapige hiyo kelele?
Sasa wewe kinakuuma nini wanachadema wakichagua mtu asiyefaa kama unavyodai?Mbowe alikuwa na nguvu na uwezo kwa sababu ya Dr Slaa tu. Sasa hivi ana lolote, hana uwezo kwa sababu king maker aliondoka
Na demokrasia lazima ionekane ndani ya chama, otherwise hakuna sababu ya kulalamikia ccm na serikali yake
Tatizo uwezo wenu ni mdogo mno wa kuchambua mambo.Kulinganisha Mbowe na Serikali ni vitu viwili tofauti sana.Nenda shule kidogo ujue tofauti ya haya mamboTatizo la wafuasi wa Mbowe wana ubongo wa sisimizi
Kuwaita wale wanaohoji uenyekiti wa mbowe kuwa ni mapandikizi ni kinyume na demokrasia
Chadema wao kuihoji serikali kuhusu demokrasia na uhuru wa kujieleza,hawana tabu,ila wao hawataki kabisa kuguswa
Mkono wa Mbowe ni upi huo?Mkono wa Mh. Mbowe umeshatema cheche ngoja waje wapiga mapambio wake sasa.
DEMOKRASIA KWA TZ NI NGUMU HAIJARISHI CCM AU UPINZANI.
Nyie watu wa kusini mna akili nyingi sana zakuwashika wajinga jinga.
HukunielewaSasa wewe kinakuuma nini wanachadema wakichagua mtu asiyefaa kama unavyodai?
Demokrasia inafuatwa barabara na Katiba Inaheshimiwa.Mbowe hajichagui bali anachaguliwa na wanachama na washindani wake wanakiri kushindwaHukunielewa
Nasema, demokrasia lazima ifuatwe, na katiba lazima ifuatwe
Hakuna chochote wanaCCM mbachoweza kumdanganya Lissu.HakunaNyumbu Ni Nyumbu tu. Lissu ajifunze kua amezungukwa na watu wa Aina gani.
Pia Rais wa nchi akifanya mazuri, ukomo uondolewe ili aendelee kutawala mpaka pale wananchi watakaposema basi!
kwahiyo kila anayehoji ujinga wa Chadema automatically anakuwa MwanaCCM.Wewe mwanaCCM kinakuuma nini?
Mbowe Tano Tena
The bottomline ni kuwa Mbowe haondoki CDM uenyekiti katika utawala wa Jiwe! Katika udikiteita wa Jiwe na kufa kwa demokrasia, hakuna kuondoka. Ingelikuwa kipindi cha "amani" tuliyoizoea, people could think of that, but not now!Wakati Freeman Aikaeli Mbowe anachukua nafasi ya uenyekiti wa CHADEMA Taifa kutoka kwa mzee Bob Nyanga Makani, alikuta kuna Wabunge wa 5 na Madiwani wasiozidi 75 nchi nzima. Wabunge wasioweza hata kujaza sebule yenu hapo.
Leo tukielekea kwenye uchaguzi mkuu mwingine wa ndani wa CHADEMA, Mwezi Desemba, 2019 CHADEMA kuna Wabunge zaidi ya 65 madiwani zadi ya 1500 nchi yote, halmashauri za kutosha na wanaunda kambi ya upinzani bungeni (KUB)
Hivyo ni vyema wewe "kijana - baro baro" wa leo mwenye kuendeshwa na "mihemko" kutambua haya mafaniko makubwa kabla ya kusema "Mbowe ameiua CHADEMA", inawezekana hujui hata CHADEMA imefikaje hapa ilipo leo, sio miujiza, ni STRATEGIES!
Kuna Vijana wa leo, labda kwa mihemko na juhudi za kutumika hawajui nguvu iliyotumika, jasho lililomwagika hadi kuifanya leo CHADEMA kuwa chama kikuu cha upinzani. Wanadhani ni kitu rahisi kama kucheza 'BIKO na TATU MZUKA'
Hatusemi kwamba Freeman Mbowe ni malaika, kwamba hakuna dosari na makosa kwenye uongozi wake, hapana, isipokuwa jasho, damu na machozi yake yamemwagika kwa ajili ya CHADEMA, tuhuma zenu zinapaswa kuwa 'Valid' wakati wa kumkosoa, tuhuma za JINAI zithibitishwe!
Freeman Aikaeli Mbowe ni mwenyekiti halali wa CHADEMA, na ataondoka madarakani siku wanachama wa CHADEMA wakisema "imetosha" kupitia mkutano mkuu, sio kwa sababu "Kuna kelele za CCM na mapandikizi" huko nje za "Mbowe ondoka! Mbowe ondoka!"
Mzee Bob Makani alikuwa na kadi namba Tatu ya CHADEMA, kadi namba Mbili ilikuwa ya Mzee Brown Ngilulupi na kadi namba moja ya Mzee Edwin Mtei, hawakukosea kamwe kumuona Freeman Mbowe na kumkabidhi CHADEMA ambayo ameifanya kuwa chama kikuu cha upinzani Tanzania.
Mwisho, kimsingi, CHADEMA imebarikiwa kuwa na mwenyekiti kama Freeman Mbowe, wengine tuliopata fursa ya kufanya nae kazi au kukutana nae, tunajivunia sana, he's a man and a-half!
Stay blessed Chairman!
Mbowe Tano Tena Uchaguzi Mkuu 2019
Labda nikuibie siri na iwe siri yako Tu.Lissu ndiye mgombea wetu wa Urais na Mbowe ndiye Mwenyekiti wetu.Tunataka mgawanyo wa madaraka ndani ya chama chetu
Wanaweza wasiongezeke lakini team Mbowe wamekuwa wakitumia ongezeko LA idadi ya wenyeti wa vitongoji,mitaa/vijiji,madiwani,wabunge kama fimbo kwa wagombea wengine.Asipogombea wataongezeka?
Hili linazungumzika mkuu.Tunaweza kumshauri Mwenyekiti vizuri wakati atakapofanya uteuzi wa Katibu mkuu mpya.Naamini ataheshimu mawazo ya wengiMbowe hakika anafaa kuendelea ila katibu mkuu wake hapana kapoa sana kama maji ya mtungi katibu awe John Mnyika
CDM siyo sawa na CCM.Huku hakuna Team Mbowe.Huku kuna Team CDMWanaweza wasiongezeke lakini team Mbowe wamekuwa wakitumia ongezeko LA idadi ya wenyeti wa vitongoji,mitaa/vijiji,madiwani,wabunge kama fimbo kwa wagombea wengine.
Ninachoamini ni kuwa kweli kulikuwa na ongezeko lakini mwakani uchaguzi ukifanyika watapungua mno kama sio kwisha kabisa.
Sasa najiuliza kampeni ya timu Mbowe kwa wagombea wengine itakuwaje?
Turuhusu demokrasia ifanye kazi.
The bottomline ni kuwa Mbowe haondoki CDM uenyekiti katika utawala wa Jiwe! Katika udikiteita wa Jiwe na kufa kwa demokrasia, hakuna kuondoka. Ingelikuwa kipindi cha "amani" tuliyoizoea, people could think of that, but not now!
Huna tofauti na wale Praise Team pale Lumumba.Hili linazungumzika mkuu.Tunaweza kumshauri Mwenyekiti vizuri wakati atakapofanya uteuzi wa Katibu mkuu mpya.Naamini ataheshimu mawazo ya wengi