Hata asipopata mbunge shida yako ni nini? Wananchi wanamtaka MboweNatamani uchaguzi wa chadema uahirishwe hadi baada ya uchaguzi mkuu ili hizi ngonjera za idadi ya wabunge wasiojaa sebule ife.
Ninaamini Mbowe akija kugombea baada ya uchaguzi mkuu atajikuta ana wabunge labda watano kama zamani.
Mbowe Tano Tena
Chungu sana kwa CCM kama shubiri
Naona umeingia mitini mkuu, na umeona ni jinsi gani hoja zako ni nyepesi. Mbowe anaanza vipi kuwa shubiri kwa CCM wakati wabunge kibao wamefika bei yeye akiwa mwenyekiti? Mmezuiwa kufanya siasa kila sehemu hata kutoa misaada mnakamatwa, Mbowe yupo kimya, kaufyata. Labda kama huo ndio ushubiri. Kimbunga halisi kinakuja 2020, ambapo mtapokonywa ushindi karibu kila jimbo,ushubiri utaendelea kuonekana. |
Naona umeingia mitini mkuu, na umeona ni jinsi gani hoja zako ni nyepesi.
Mbowe anaanza vipi kuwa shubiri kwa CCM wakati wabunge kibao wamefika bei yeye akiwa mwenyekiti?
Mmezuiwa kufanya siasa kila sehemu hata kutoa misaada mnakamatwa, Mbowe yupo kimya, kaufyata. Labda kama huo ndio ushubiri.
Kimbunga halisi kinakuja 2020, ambapo mtapokonywa ushindi karibu kila jimbo,ushubiri utaendelea kuonekana.
Kawaeleze wenzio kumtoa Mbowe CDM siyo kazi rahisiHilo la kuongezeka kwa idadi ya wabunge ni kwa sababu ya juhudi za uongozi mahiri wa Dr. Slaa alizozifanya upinzani.
Kama ninayoyasema ni ya kizushi, tutaangalia idadi ya wabunge wa upinzani itakayopatikana baada ya uchaguzi mkuu wa mwakani.
Kama itafikia hata nusu ya waliopo, basi kweli Mbowe atakuwa ni mwenyekiti chaguo sahihi la wapinzani.
Hata asipopata mbunge shida yako ni nini? Wananchi wanamtaka Mbowe
Labda nikuibie siri na iwe siri yako Tu.Lissu ndiye mgombea wetu wa Urais na Mbowe ndiye Mwenyekiti wetu.Tunataka mgawanyo wa madaraka ndani ya chama chetuApumzike!Tundu lissu achukue nafasi hiyo.
Akiendelea kugombea atakuwa na tofauti gani na Mugabe?
Ruhusuni demokrasia ichukue nafasi yake,
Jisemee nafsi yako na acha kuisemea asilimia 99 ya sisi wanachama ambayo hutujui tunamtaka nani
Apumzike!Tundu lissu achukue nafasi hiyo.
Akiendelea kugombea atakuwa na tofauti gani na Mugabe?
Ruhusuni demokrasia ichukue nafasi yake,
Jisemee nafsi yako na acha kuisemea asilimia 99 ya sisi wanachama ambayo hutujui tunamtaka nani
Molemo hachelewi kukuambia Lissu atauza chama. |
Molemo hachelewi kukuambia Lissu atauza chama.
Labda nikuibie siri na iwe siri yako Tu.Lissu ndiye mgombea wetu wa Urais na Mbowe ndiye Mwenyekiti wetu.Tunataka mgawanyo wa madaraka ndani ya chama chetu
Kwahiyo tayari mmeshapitisha mgombea?😂😂 Hakika hiki ni Chama Cha Demokrasia na Maendeleo. Wakati huo huo mnapiga tarumbeta JPM awe na mtu wa kumpinga ndani ya CCM😂 |
waTZ wana udumavu wa kufikiri, yaani unajiuliza mtu huyu ana Ubongo kweli? Dalili zote zimeonekana Chadema watapata wabunge wasiozidi watano kwenye 2020 GE.
Naona umeingia mitini mkuu, na umeona ni jinsi gani hoja zako ni nyepesi.
Mbowe anaanza vipi kuwa shubiri kwa CCM wakati wabunge kibao wamefika bei yeye akiwa mwenyekiti?
Mmezuiwa kufanya siasa kila sehemu hata kutoa misaada mnakamatwa, Mbowe yupo kimya, kaufyata. Labda kama huo ndio ushubiri.
Kimbunga halisi kinakuja 2020, ambapo mtapokonywa ushindi karibu kila jimbo,ushubiri utaendelea kuonekana.
Kwahiyo tayari mmeshapitisha mgombea?😂😂
Hakika hiki ni Chama Cha Demokrasia na Maendeleo.
Wakati huo huo mnapiga tarumbeta JPM awe na mtu wa kumpinga ndani ya CCM😂
Ridhaa inapatikanaje? Ni kwa Kura Tu.Mbowe atashinda kwa kura na siyo kwa mapinduziMleta mada yote uliyosema kuhusu Mbowe hakuna anayeyapinga, lakini ukweli uko wazi kiongozi akiongoza zaidi ya miaka 10 anakuwa hana jipya, sana sana atatumia madaraka yake kusalia hapo madarakani na sio kwa ridhaa ya wanachama/wananchi wake. Mifano ya kwamba sasa Mbowe kafikia mwisho ni kitendo cha kumpokea Lowassa aliyefuata madaraka tu, na kisha kayakosa karudi kule kule alikotoka. Kama yuko kama kiongozi anapaswa kukabidhi kijiti kwa mwingine, lakini kama yuko hapo kama ajira basi muambie amechemsha.
Wewe mwanaCCM kinakuuma nini?waTZ wana udumavu wa kufikiri, yaani unajiuliza mtu huyu ana Ubongo kweli? Dalili zote zimeonekana Chadema watapata wabunge wasiozidi watano kwenye 2020 GE.
Mtu na Mchuzi wake kichwani (ubongo uliojaa maji) anakwambia Mbowe tano tena.
Asipogombea wataongezeka?Natamani uchaguzi wa chadema uahirishwe hadi baada ya uchaguzi mkuu ili hizi ngonjera za idadi ya wabunge wasiojaa sebule ife.
Ninaamini Mbowe akija kugombea baada ya uchaguzi mkuu atajikuta ana wabunge labda watano kama zamani.
Hapo ndiyo ujue mtu asiyejua anachoandika.Umemuuliza swali zuri sanaAsipogombea wataongezeka?