Chief kwa hali ya kisiasa iliyo kwa sasa hpa nchini, siishauri chadema kufanya majaribio ya kiungozi kwa kumtoa mbowe!Nikweli inaweza kama yupo vizuri na kafanya transformation kubwa chadema ila uongozi nikurithishana na kutengeneza watu wenye mtazamo mpya,nilikuwa nampenda sana Hayati Mugabe kwa misimamo yake ila kuendelea kuona yeye ndiye anayefaa kuwa kiongozi pekee nilianza kumchukia,Chadema inaweza kuendelea kuwa na Mbowe ila ikipata mtu mwenye mawazo mapya na mbowe akawa anamsaidia mawazo inaweza kupata kitu tofauti zaidi
Asante sana kwa ushauri wa BusaraChief kwa hali ya kisiasa iliyo kwa sasa hpa nchini, siishauri chadema kufanya majaribio ya kiungozi kwa kumtoa mbowe!
Ni km meli ipo safarini bahari imechafuka hatari halafu mnampa unahodha captain ambaye bado in chipukizi. Kwa vyovyote vile meli lazima itazama.
Kwa bahati mbaya sana unadhani Chadema ni chama Tawala.Hiyo ni bahati mbaya sana kwako.
Jaribu kujifunza kidogo siasa za Africa na duniani kwa ujumla halafu unipe historia ya vyama vya upinzani na viongozi wake
Jifunze hata historia ya Kenya tu uniambie ni lini Wanamageuzi waliwaweka kando akina Raila Odinga,Uhuru Kenyata,Mwai Kibaki,Kalonzo Musyoka,Kijana Wamalwa,Musalia Mudavadi,William Ruto na wenzao? Mbona hawakuachia uongozi wa vyama vyao?
Kwa Taarifa yako moja ya goal ya kiongozi wa mageuzi ni kushinda uongozi wa dola na baada ya hapo kazi uske inakiwa imekamilika.
Mbowe akimbie uongozi CDM tutamuuliza ni lini amekamilisha kazi tuliyompa ya kukamata dola?
Mkuu nilitegemea ungejibu hoja zangu. Ajabu sana ni kwamba umekimbilia kwenye porojo tupu. Nikijibu paragraph ya 3,4 na 5 kwa pamoja. Mbowe ni Mwenyekiti wa kwanza wa CHADEMA? Kama jibu ni hapana, je hao wengine waliachia madaraka baada ya kukamilisha kazi yao ya 'mageuzi'? |
Kama kuna analysis zinafanyika na wanachadema wenyewe na kuona ivyo ni sawa kutokana na upepo wanasiasa naona hasa kama wanakubaliana kwa umoja wao lakini kama kuna wanaonung'unika ndani kwa ndani italeta shida mbele ya safariChief kwa hali ya kisiasa iliyo kwa sasa hpa nchini, siishauri chadema kufanya majaribio ya kiungozi kwa kumtoa mbowe!
Ni km meli ipo safarini bahari imechafuka hatari halafu mnampa unahodha captain ambaye bado in chipukizi. Kwa vyovyote vile meli lazima itazama.
Wewe ni mwanachama kindakindaki wa CCM.Kwa Mbowe Tumefika na Hatutamtoa mpaka pale tumechukua madaraka ya dola kisha tutampumzisha.Mark my words
Mkuu nilitegemea ungejibu hoja zangu. Ajabu sana ni kwamba umekimbilia kwenye porojo tupu.
Nikijibu paragraph ya 3,4 na 5 kwa pamoja. Mbowe ni Mwenyekiti wa kwanza wa CHADEMA? Kama jibu ni hapana, je hao wengine waliachia madaraka baada ya kukamilisha kazi yao ya 'mageuzi'?
Wanachama asilimia 99% Tunamuunga mkono Mbowe.Na tunamtahadharisha tu Mbowe akithubutu kusema hagombei tena sisi wanachama kwa umoja wetu nchi nzima Tutavamia makao makuu na hatutaondoka mpaka atakapobadilisha uamuzi.Kama kuna analysis zinafanyika na wanachadema wenyewe na kuona ivyo ni sawa kutokana na upepo wanasiasa naona hasa kama wanakubaliana kwa umoja wao lakini kama kuna wanaonung'unika ndani kwa ndani italeta shida mbele ya safari
Rais ni wa Watanzania wote wanatakiwa waseme Watanzania wote, Mwenyekiti ni wa Chadema wanatakiwa waseme Chadema wote, sasa mnaosema inatosha siyo Chadema!Pia Rais wa nchi akifanya mazuri, ukomo uondolewe ili aendelee kutawala mpaka pale wananchi watakaposema basi!
Wakati Freeman Aikaeli Mbowe anachukua nafasi ya uenyekiti wa CHADEMA Taifa kutoka kwa mzee Bob Nyanga Makani, alikuta kuna Wabunge wa 5 na Madiwani wasiozidi 75 nchi nzima. Wabunge wasioweza hata kujaza sebule yenu hapo.
Leo tukielekea kwenye uchaguzi mkuu mwingine wa ndani wa CHADEMA, Mwezi Desemba, 2019 CHADEMA kuna Wabunge zaidi ya 65 madiwani zadi ya 1500 nchi yote, halmashauri za kutosha na wanaunda kambi ya upinzani bungeni (KUB)
Hivyo ni vyema wewe "kijana - baro baro" wa leo mwenye kuendeshwa na "mihemko" kutambua haya mafaniko makubwa kabla ya kusema "Mbowe ameiua CHADEMA", inawezekana hujui hata CHADEMA imefikaje hapa ilipo leo, sio miujiza, ni STRATEGIES!
Kuna Vijana wa leo, labda kwa mihemko na juhudi za kutumika hawajui nguvu iliyotumika, jasho lililomwagika hadi kuifanya leo CHADEMA kuwa chama kikuu cha upinzani. Wanadhani ni kitu rahisi kama kucheza 'BIKO na TATU MZUKA'
Hatusemi kwamba Freeman Mbowe ni malaika, kwamba hakuna dosari na makosa kwenye uongozi wake, hapana, isipokuwa jasho, damu na machozi yake yamemwagika kwa ajili ya CHADEMA, tuhuma zenu zinapaswa kuwa 'Valid' wakati wa kumkosoa, tuhuma za JINAI zithibitishwe!
Freeman Aikaeli Mbowe ni mwenyekiti halali wa CHADEMA, na ataondoka madarakani siku wanachama wa CHADEMA wakisema "imetosha" kupitia mkutano mkuu, sio kwa sababu "Kuna kelele za CCM na mapandikizi" huko nje za "Mbowe ondoka! Mbowe ondoka!"
Mzee Bob Makani alikuwa na kadi namba Tatu ya CHADEMA, kadi namba Mbili ilikuwa ya Mzee Brown Ngilulupi na kadi namba moja ya Mzee Edwin Mtei, hawakukosea kamwe kumuona Freeman Mbowe na kumkabidhi CHADEMA ambayo ameifanya kuwa chama kikuu cha upinzani Tanzania.
Mwisho, kimsingi, CHADEMA imebarikiwa kuwa na mwenyekiti kama Freeman Mbowe, wengine tuliopata fursa ya kufanya nae kazi au kukutana nae, tunajivunia sana, he's a man and a-half!
Stay blessed Chairman!
Mbowe Tano Tena Uchaguzi Mkuu 2019
Much respect.Mwana Taluma mwenzangu kwanza nianze kwa Kukusalimia habari za siku, sikuweza kuwepo jukwani kutokana Na masomo yanayonikabili,
Kwanza nianze kwa kukukumbusha Freeman Mbowe ataondoka pindi wanachama wakisema aondoke si kwa shinikizo kutoka kwa wanaoitakia chadema mabaya pili mbowe amekitoa chadema sehemu ambayo ccm hawakutegemea kuwa leo chadema kitafika kwahiyo freeman mbowe ndio chaguo la wana chadema na Watanzania kwa ujumla
Wasalam
Nadhani hapa mkuu tumia umoja,usiwasemee wengine maana kuna wengine inawezekana wanataka mtu mwingineWanachama asilimia 99% Tunamuunga mkono Mbowe.Na tunamtahadharisha tu Mbowe akithubutu kusema hagombei tena sisi wanachama kwa umoja wetu nchi nzima Tutavamia makao makuu na hatutaondoka mpaka atakapobadilisha uamuzi.
Mkuu nilitegemea ungejibu hoja zangu. Ajabu sana ni kwamba umekimbilia kwenye porojo tupu.
Nikijibu paragraph ya 3,4 na 5 kwa pamoja. Mbowe ni Mwenyekiti wa kwanza wa CHADEMA? Kama jibu ni hapana, je hao wengine waliachia madaraka baada ya kukamilisha kazi yao ya 'mageuzi'?
Ukiangalia mazuri tu ya mke huwezi mwacha ,maana kila ukikumbuka mazuri yake unaweza sema hakuna mwanamke kama yeye na sitokaa nipate mke kama huyu...
Usisahau na idadi ya wabunge na madiwani waliohama wakati wa uongozi wake na wale " waliodhurika"
Ha ha ha ha ha, chama kinachoamini katika democrasia kinawezaje hata Kama wanachama hawajazungumzia kuacha kuweka kipengele Cha ukomo wa uongozi, wakati ni moja ya nguzo ya democrasia common huwezi kuwa mbumbumbu kiasi hiki, kwamba kilikuwepo ila walipofanya mabadiliko kikasahaukika bahati mbaya.Mkuu Pascal Mayalla huwa unaheshimika sana hapa jukwaani na muda mwingine huwa unaongea kwa mafumbo lakini hapa Sidhani kama unaongea kwa parables maana upo clear kuwa CHADEMA imefuta kipengele cha uongozi.
Hili swali aliwahi uliza Nape humu jukwaani na akajibiwa na Dr slaa pamoja na JJ Mnyika kwa hoja na nyaraka kwamba kipengele cha ukomo hakikufutwa ila katika kusaka maoni ya kutunga katiba mpya chini ya Prof Baregu suala hilo halikuwekwa na wanachama.
HIVYO BASI unapojenga hoja kuhusu suala hili usiseme kilinyofolewa bali sema katiba mpya haijazungumzia. Maana mtu anaweza dhani ilifanyiwa amendment ikafuta hiko kipengele.
Pascal upo credible so una uwezo wa kutengeneza au kuharibu so kabla hujachangia lolote keep your facts straight!!
Ni hayo tu mkuu wangu
Kama kuna wabunge wanaolalamika michango yao ndani ya chama kuibiwa huoni nao ni sawa na hao 'wafanyakazi' nao pia wanalia na kusaga meno?
Kwa kweli Mbowe Tano TenaKWA AWAMU HII YA KUKUKANYAGA KATIBA,
MSIFANYE MAJARIBIO. ANATAKIWA MTU MWENYE MSIMAMO THABITI.
MSIJEWEKA MWENYE NJAA KAMA WAITARA NA WENZAKE WAKAUNGA MKONO JUHUDI ZA KUIANGAMIZA NCHI.
KWA AWAMU HII YA KUKUKANYAGA KATIBA,
MSIFANYE MAJARIBIO. ANATAKIWA MTU MWENYE MSIMAMO THABITI.
MSIJEWEKA MWENYE NJAA KAMA WAITARA NA WENZAKE WAKAUNGA MKONO JUHUDI ZA KUIANGAMIZA NCHI.
Hadithi ni ile ile. Inamaana CHADEMA haina idara makini za kutambua nani ana roho ngumu ya kuwa mpinzani halisi na sio mtu mwenye tamaa mpaka wampe uenyekiti mtu kama Waitara? Sisi kama wananchi tunawezaje kuwaamini watu wasioaminiana wao kwa wao? |
Hadithi ni ile ile. Inamaana CHADEMA haina idara makini za kutambua nani ana roho ngumu ya kuwa mpinzani halisi na sio mtu mwenye tamaa mpaka wampe uenyekiti mtu kama Waitara?
Sisi kama wananchi tunawezaje kuwaamini watu wasioaminiana wao kwa wao?