Hatma ya Freeman Mbowe CHADEMA

Mada nyingine inachekeshq
Kwamba una pitisha Hoja kwamba Mbowe awe Mwenyekiti milele
Hatukatai hilo
Awe mwenyekiti wa vibendera milele
Ila kuiongoza nchi hii
Mtaishia kusikia na kutazama milele wakitawala wanao jitambua
 
Una tofauti gani na Musiba, Nkamia, Mkulima.

Mbowe anabakia kwenye uenyekiti kwa mbinu zile zile alizotumia Mugabe, Museven, Kagame, Nkurunziza na huyu wa kwetu ana hivyo vidalili dalili.
Hujjtambui ndiyo shida yako
 
Km kweli unaipenda chadema mwenyeki ajaye ni Tundu Lissu, na inatakiwa akawe mwenyekiti kabla hajurudi Tz, Mbowe ameshafanya inatosha
Wanaochagua ni wanachama na siyo blah blah za mitandaoni.Lissu ni Rsis Ajaye na Mbowe ni Mwenyekiti wetu
 
Mada nyingine inachekeshq
Kwamba una pitisha Hoja kwamba Mbowe awe Mwenyekiti milele
Hatukatai hilo
Awe mwenyekiti wa vibendera milele
Ila kuiongoza nchi hii
Mtaishia kusikia na kutazama milele wakitawala wanao jitambua
Mbowe Tano Tena
 
Ili aendelee kuenziwa na kusifiwa na wanachama, huu ni wakati mzuri zaidi wa yeye kuachia usukani ili chama kisije mfia na lawama tele.

Mcheza ngoma hata awe mahiri vipi, lazima ajue muda wa kuacha kucheza na kupisha wenzake.
Kikimfia wewe kinakuuma nini?
 
Hapo uliposema Mbowe huwashinda wenzake nimecheka sana.Mbowe huwa anawashinda akina nani?
Wagombea wenzake.Wewe unadhani anagombea na kivuli kama nyie?
 
Kama Chadema ndio ina wafuasi wajinga wajinga kama wewe CCM itaongoza hadi chama kingine cha Upinzani chenye wafuasi wenye kujitambua kitakapozaliwa.

Mbowe kuachia madaraka ni sasa or never, ataishia kama Mugabe, ataishia kama atakavyoishia Museven, ataishia kama atakavyoishia Nkurunziza, ataishia kama atakavyoishia Kagame, ataishia kama atakavyoishia huyu wa kwetu ikiwa ataendelea na harakati zake za kilaghai(kutumia mamlaka na ulaghai kujiongezea muda wa kubakia mamlakani)

Mwisho wenye aibu, mwisho usiokuwa na heshima.
Hujjtambui ndiyo shida yako
 
Damu mpya kama kina Waitara?
 
Pole sana.
Hakika hamna Hoja
Mbowe Tano Tena
 
Hapo uliposema Mbowe huwashinda wenzake nimecheka sana.Mbowe huwa anawashinda akina nani?
Nyie watu mnapenda kukaririshwa sana. Kwani unadhani Mbowe huwa anagombea peke yake kama ilivyo kwenye chama chenu? Hujaona matokeo niliyoweka ya uchaguzi wa mwaka 2014.
 
Uongozi wowote ule wa kidiktata, kisultani duniani huanza na kucheza na ukomo wa uongozi, Iwe mihula au miaka
Sio kweli. Udikteta huanza kwa kutokuheshimu katiba na vyombo vitokanavyo na Katiba. Hitler na Musolini waliondoa ukomo wa muda ndio wakawa madikteta?
 
Sababu Rais MAGUFULI anafanya kazi nzuri ni vyema tukaondoa kikomo aendelee mpaka watanzania tutakaposema sasa basi.....#JPM2020KaziIendelee #JPMForLifeKaziIendelee
 
Habari yako imekuwa attributted na mafanikio ya Mbowe ndani ya CHADEMA. Timu hiyo ya wabunge umeitaja kama orodha ya wabunge waliokuwepo kabla ya juhudi za mbowe kuongeza wabunge.
Naongelea mkutano wa jangwani uliohusisha wabunge wote wa upinzani kutoka vyama vya upinzani vilivyokuwepo wakati ule.Nilionesha pia ,waliokuwa kambi moja na Mbowe walivyochoka na kuhamia ccm wakapewa vyeo ama ccm au serikalini lakini Mbowe akabaki imara hadi leo.Wapi alipo Danhi Makanga? Hoja yangu kubwa ni jinsi Mbowe alivyopambana kishupavu na kufika hapa alipofika.Sijafungwa na mipaka ya vyama bali maslahi na mafanikio ya umma wa Watanzania.
 
Succession Plan ya Mbowe ipoje? Ameandaaa wa kumrithi? au anahisi bila yake hakuna wa kuindeleza CDM? Kama ni hivyo ina maana basi si kiongozi wa kupigiwa mfano, maana ameshindwa kuindeleza CDM baada yake.
Wanachadema wanatakiwa waamue siyo Mbowe wala walionje ya Chadema kuamua.
 
Mbowe ni Shujaa wa mageuzi Tanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…