Zzk ana kimavi mwaka huu,na ajue ana maadui wengi,pamoja na wazalendo wa kweli waliovuja jasho na damu yao lazima atalipa!...ulipanda chati kwaajilili ya pesa na michango ya wanyonge toka chadema,
Nakuombea mabaya
​ha ha hah haaa!!!!!!!!!!!!!!Since mahakama na sehemu ya serikali ya ccm Limbu has a narrow chance to win na Zitto na kundi lake waliopo kazini kuhakikisha wanaisambaratisha CHADEMA kuendelea kupeta..... Let's keep watching..... Where is my popcorn bag!!
BAVICHA mnaiogopa sana ACT, sijui kwa nini.
Anapenda kusema haki itakuwa imetendeka.nataka nione mahakama inasema Limbu yuko sawa uchaguzi uhairishwe.pia naomba nione ACT inamchagua zzk kuwa mkiti ndani wiki moja. Aibu ataipata tu mwaka huu. iwapo mahakama itawapa act haki atasema nini wakati kasema mahakama imemuonea kwaji escrow imetumika?
BAVICHA mnaiogopa sana ACT, sijui kwa nini.
Mwaka wa njaa ni wa njaa tu hata upande bangi haioti.
Mwaka wa njaa ni wa njaa tu hata upande bangi haioti.
Kesi hii haijaanza leo na mahakama haiingiliwi na kalenda binafsi au chama, acheni sheria ifuate mkondo wake, Limbu kaisajili ACT katumia muda wake kukitangaza ana haki zake.Sasa jamni ebu twende mbele turudi nyuma na kuchambua maswala badala ya kushabikia. Huyu mwenyekiti wa ACT Limbu yeye kuwa mwenyekiti ndio inampa madaraka ya kuwafukuza wanachama? Yaani unamfukuza madakani Katibu mkuu kwa sababu zako ati chama hakimtambui ilihali maamuzi hayo umeyafanya wewe na baadhi ya watu kwa kuhofia nafasi hiyo pengine itachukuliwa na Zitto na hivyo wewe umewekwa kama Kioo tu. Chama kinazinduliwa rasmi tarehe 25 ni wanachama gani hao walokaa na kufikia maamuzi haya!
Kisha basi mikutano yote tujuavyo huandaliwa na katibu mkuu, iweje leo mwenyekiti uanze kuweka madai hadi makahamani ikiwa hayajapitia vikao vya chama maana chama ni wanachama na ndio watakao amua. Kwa kwenda mahakamani Je, ina maana madai yako yamekataliwa ndani ya Chama. Na iweje chama hiki kinazinduliwa rasmi tarehe 25 na ndio siku ambayo mahakama pia inataka kuskiliza kesi yako! Ama kweli cheo sio dhamana watu wakipewa cheo hukitumia kama wamekirithi.
Kwa sisi wenye kuona mbali tunajua fika kwamba kuna mkono wa Mtu na haiwezekani ghafla baada ya kusikia Zitto kajiunga na ACT tayari umekimbilia mahakamani wakati kuna kikao cha kwanza cha chama tarehe 25, siku ambayo ungewakilisha hoja yako na wanachama wote wakaisikiliza. Mbona hii inaonekana kama ni marudio ya sinema ya Chadema.. Ama kweli siasa za Bongo kiboko!..
Pole sana mkuu , mpaka muda huu duru za kimahakama zinaonyesha kwamba Mkutano umepigwa stop , tuchukue kama tetesi , kitakachoendelea ni kuhusu uanachama wa Mwigamba tu , ndio hivyo mkuu inasikitisha sana ! kulikuwa hakuna haja ya kumng'oa limbu kinguvu , mbona angeondolewa kidemokrasia tu !Sasa jamni ebu twende mbele turudi nyuma na kuchambua maswala badala ya kushabikia. Huyu mwenyekiti wa ACT Limbu yeye kuwa mwenyekiti ndio inampa madaraka ya kuwafukuza wanachama? Yaani unamfukuza madakani Katibu mkuu kwa sababu zako ati chama hakimtambui ilihali maamuzi hayo umeyafanya wewe na baadhi ya watu kwa kuhofia nafasi hiyo pengine itachukuliwa na Zitto na hivyo wewe umewekwa kama Kioo tu. Chama kinazinduliwa rasmi tarehe 25 ni wanachama gani hao walokaa na kufikia maamuzi haya!
Kisha basi mikutano yote tujuavyo huandaliwa na katibu mkuu, iweje leo mwenyekiti uanze kuweka madai hadi makahamani ikiwa hayajapitia vikao vya chama maana chama ni wanachama na ndio watakao amua. Kwa kwenda mahakamani Je, ina maana madai yako yamekataliwa ndani ya Chama. Na iweje chama hiki kinazinduliwa rasmi tarehe 25 na ndio siku ambayo mahakama pia inataka kuskiliza kesi yako! Ama kweli cheo sio dhamana watu wakipewa cheo hukitumia kama wamekirithi.
Kwa sisi wenye kuona mbali tunajua fika kwamba kuna mkono wa Mtu na haiwezekani ghafla baada ya kusikia Zitto kajiunga na ACT tayari umekimbilia mahakamani wakati kuna kikao cha kwanza cha chama tarehe 25, siku ambayo ungewakilisha hoja yako na wanachama wote wakaisikiliza. Mbona hii inaonekana kama ni marudio ya sinema ya Chadema.. Ama kweli siasa za Bongo kiboko!..
hadi akapachikwa jina jipya la TAPELI WA KARIAKOO , hiyo ilikuwa ni kwenye mkutano wa ACT mwanza .Kesi hii haijaanza leo na mahakama haiingiliwi na kalenda binafsi au chama, acheni sheria ifuate mkondo wake, Limbu kaisajili ACT katumia muda wake kukitangaza ana haki zake.