Hatma baada ya kupona Gono

dej

Member
Oct 8, 2016
42
113
Wanajamvi habari, mi ni kijana miaka 30 naishi Dodoma na Mpenzi wangu anaishi Dar. Tuko na zaid ya mwaka sasa kwenye mahusiano.

Mara nyingi huwa ye anakuja Dom na mara chache mi nashuka Dar kuonana nae. Mwezi wa 11 mwaka jana alikuja, baada ya kukutana nae wiki moja mbele nikaanza kusikia hali tofauti wakati wa haja ndogo, nikaenda pharmacy nikapewa dawa nikatulia. Sasa tena Mwaka mpya nilikuwa nae, baada ya kuachana ile hali ikarudia tena, sasa ikabidi niende Hospital kupima. Nikaambiwa ni ghono.

Nimefatilia chanzo cha gono kwa wanawake kwa baadhi ya makala, lakini kila makala nayosoma inasema chanzo ni sex with infected penis.

Sasa hapa mi najiuliza mara tatutatu, niko salama kweli na huyu binti? Au nachotafuta ntakipata?

Au Kuna namna mwanamke anaweza pata gonorrhea kutokana tu na maumbile yake nje ya sex?

Msaada tafadhari!!
 
Mara nyingi wanakuwa nayo bila wao kujua.. wala kuwaletea shida. Shida unaipata ww Mwanaume.

Na huyo atakuwa kaambukizwa na Mwanaume mwingine tofauti na ww.

Kuna magonjwa Mwanamke akiwa nayo aisee inakatisha tamaa mfn Gono ni ugonjwa flan hivi wakipumbavu sana.

Wengi wanopata gono wanatoa kwa Malaya wa bei rahisi, pia wengine wanatafsiri Gono sawa na U.T.I ndio maana unaskia U.T.I inavuma ila humo humo na Gono ipo ni namna ya kuitafsiri vzr.
 
Mambo ya ugonjwa unapaswa kushirikiana na mwenzako.

Baada ya kuumwa na kukutwa na Gonorrhoea, ungemuambia mwenzako kuwa kuna hali siielewi. Nimeumwa na nimekwenda hospital na kugundulika ninao ugonjwa tajwa.

Ila kwa jinsi wanawake wanavyojua kuruka, weee atakuambia wewe ndiye umemuambukiza. Cha kufanya wewe kaa kimya.

Omba aje tena, lakini kabla ya kukutana naye, muambie twende hospital kupima. Mtakamatana huko huko..

Ukweli ni kuwa Gonorrhoea unaambukizwa kwa kujamiiana na mtu mwenye maambukizi. Ndiyo kusema, mpenzi wako ndiye kakuletea gonjwa.

Huko Dar anakitembeza, anaambukizwa na yeye anakileta kwako.

Umepima na HIV? Matokeo vipi?

Hatma ni kushiriki ngono salama. Tumieni kinga wakati wa kujamiiana na tengenezeni ulazima wa kupima afya zenu mara kwa mara. Kuweni waaminifu kwa wenza wenu kuepuka kuambukizwa magonjwa.
 
Thanks sana bro umeongea vema sana, nahisi nikimshirikisha tu ntaanzisha mambo mengine that's why nkasema nikaushe tu.

Kuhusu HIV, ile siku naenda Hospital walichukua damu pia, sasa sjajua kama walipima au lah! Manake jibu lilkua moja tu kwamba ni Ghono.
 
Mara nyingi wanakuwa nayo bila wao kujua.. wala kuwaletea shida. Shida unaipata ww Mwanaume.

Na huyo atakuwa kaambukizwa na Mwanaume mwingine tofauti na ww.

Kuna magonjwa Mwanamke akiwa nayo aisee inakatisha tamaa mfn Gono ni ugonjwa flan hivi wakipumbavu sana.

Wengi wanopata gono wanatoa kwa Malaya wa bei rahisi, pia wengine wanatafsiri Gono sawa na U.T.I ndio maana unaskia U.T.I inavuma ila humo humo na Gono ipo ni namna ya kuitafsiri vzr.
Gono sio UTI
 
Wanajamvi habari, mi ni kijana miaka 30 naishi Dodoma na Mpenzi wangu anaishi Dar. Tuko na zaid ya mwaka sasa kwenye mahusiano.

Mara nyingi hua ye anakuja Dom na mara chache mi nashuka Dar kuonana nae. Mwezi wa 11 mwaka jana alikuja, baada ya kukutana nae wiki moja mbele nikaanza kusikia hali tofauti wakati wa haja ndogo, nikaenda pharmacy nikapewa dawa nikatulia. Sasa tena Mwaka mpya nilikua nae, baada ya kuachana ile hali ikarudia tena, sasa ikabidi niende Hospital kupima. Nikaambiwa ni ghono.

Nimefatilia chanzo cha ghono kwa wanawake kwa baadhi ya makala, lakini kila makala nayosoma inasema chanzo ni sex with infected penis.

Sasa hapa mi najiuliza mara tatutatu, niko salama kweli na huyu binti? Au nachotafuta ntakipata?

Au Kuna namna mwanamke anaweza pata gonorrhea kutokana tu na maumbile yake nje ya sex?

Msaada tafadhari!!

Upumbavu na fikra za kiwango hiki cha kuwa positive na wanawake vimefanya tumezika watu wengi sana.

#acha ujinga, unaibiwa.
 
Hakuna mwanamke anayejiheshimu akiwa mbali na mwanaume wake siku hizi. Wanawake wamegeuza umalaya kuwa ni ajira ya kujipatia kipato so ni ngumu sana.
Hata mleta mada hajatulia kivile kwa hiyo msiwe wa haraka sana kujudge...hatujui upande wa mleta mada

Wakati unaendelea kujitafakari kama mjinga, nenda kafanye pia vipimo vya HIV. Kama mtu ameweza kukupa Gonorrhoea sidhani kama hajakupatia na umeme.

Vijana hamjijali kabisa, sijui mnaishi bila maono? Miaka 30 ni umri mdogo sana wa kijikatia tamaa kiasi cha kushiriki ngono bila kinga.

Miaka 30 kwa vijana wengi wa kitanzania ndio kwanza unaanza kuona mwanga wa kupata pesa, sasa unafanya ngono bila kinga, pesa zikishaanza kuwa nyingi huzitumii tena kufurahia unazitumia kujitibia.

Kijana jali afya yako, huyo unayemuona mpenzi wako na ni mtulivu, kuna kijana mwenzako ananunua huduma yake kila akihitaji.
 
Umri sahihi wa kijana kuoa unaanzia miaka ngapi?
 
Back
Top Bottom