Gono inakula kizazi Cha mwanamke mpaka kinaisha, Nina shuhuda Kuna dada gono ilimla kwenda hospital wakakuta kizazi chekecheke ikabidi wakitoeMara nyingi wanakuwa nayo bila wao kujua.. wala kuwaletea shida. Shida unaipata ww Mwanaume.
Na huyo atakuwa kaambukizwa na Mwanaume mwingine tofauti na ww.
Kuna magonjwa Mwanamke akiwa nayo aisee inakatisha tamaa mfn Gono ni ugonjwa flan hivi wakipumbavu sana.
Wengi wanopata gono wanatoa kwa Malaya wa bei rahisi, pia wengine wanatafsiri Gono sawa na U.T.I ndio maana unaskia U.T.I inavuma ila humo humo na Gono ipo ni namna ya kuitafsiri vzr.
Sasa huyu ndo nlokua na mpango nae,Hata mleta mada hajatulia kivile kwa hiyo msiwe wa haraka sana kujudge...hatujui upande wa mleta mada
Mimba isiyotarajiwa
Wanajamvi habarini na kheri ya mwaka mpya. Bila kupoteza mda, mwanzoni mwa mwaka jana nilikutana na binti mmoja age ya 21 had 23 hivi. Katika harakati za kazi yule binti akaonesha kunielewa sana, kama tunavojijua baadhi ya wanaume na udhaifu mwingi, kondoo ikijileta tu hua hatujiulizi mara...www.jamiiforums.com
Una mpango nae huku umeenda kuzaa na mwingine?Sasa huyu ndo nlokua na mpango nae,
Kiufupi sitisha huo mpango wako mkuu. Tena acha kujiuliza mara mbili mbili kama mjinga mmoja hivi.Sasa huyu ndo nlokua na mpango nae,
Symptoms of gonorrhoea usually develop within about 2 weeks of being infected, although they sometimes do not appear until many months later. About 1 in 10 infected men and 5 in 10 infected women will not experience any obvious symptoms, which means the condition can go untreated for some time.Gono inakula kizazi Cha mwanamke mpaka kinaisha, Nina shuhuda Kuna dada gono ilimla kwenda hospital wakakuta kizazi chekecheke ikabidi wakitoe
Demu mwenye gono ni kupiga chini na kufuta namba zake, hukuwepo kwenye kikao Cha mabaharia wewe mtoa mada??
Sijamaanisha hivyo soma vzrGono sio UTI
Kuzaa na mwingine haikua mpango, mbona uzi wa kwanza unajielezaUna mpango nae huku umeenda kuzaa na mwingine?
Hoja ni kukosa uaminifu huku ukimuhisi mpenzi wako ndio amekuletea gono wakati hata wewe una mambo yakoKuzaa na mwingine haikua mpango, mbona uzi wa kwanza unajieleza
dar hakuna waaminifu?Mahusiano ya mbali mara nyingi aliyeko Dar ndiye huharibu!
Achana na habari za kuoaSasa huyu ndo mtu alkua kwenye matazamio ya kuoa, ni mtu nlokua na malengo nae