Mnyakatari
JF-Expert Member
- Oct 25, 2010
- 2,028
- 1,793
Tunasubiri nini kitatokea baada ya waraka
Waraka upi?
Tunasubiri nini kitatokea baada ya waraka
waache wawachezee watoto wa watanzania kwani sasa form five ataenda hata aliyepata division FIVE kama waraka huu utakuwa wa uongo