Mr Miller
JF-Expert Member
- Jan 24, 2017
- 11,449
- 25,831
.....and yet now he has the guts to use it as an excuse!12 years and the thought of a different religion never crossed his mind?
.....and yet now he has the guts to use it as an excuse!12 years and the thought of a different religion never crossed his mind?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umenijua kunivunja mbavu zangu walah kwa sasa ww ni kabila gani..Mi nishabadilisha hadi kabila,baada ya kule nilipotaka kuoa kusema hawatupendi wamasai!
Coward......and yet now he has the guts to use it as an excuse!
Hahaha,nilifuata kabila la mke wangu,Mnyakyusa,na ukoo kabisa wakanitengenezea![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umenijua kunivunja mbavu zangu walah kwa sasa ww ni kabila gani..
and Stupid.Coward.
Mpaka leo anakulilia??? Akijua thamani yake atakuacha uende,binafs nimejifunza heri upate wq dini mnaendana inaepusha mikinganoHahaaa. Mwanaume kubadili dini kumfuata mwanamke kuna walakini. Binafsi nilishindwa kubadili dhehebu kumfuata my first fiancee tukaachana, mpaka leo ananililia
Asante mkuu kwa ushauri wakoWe lofa kabisa,unaleta true love enzi hizi. Ningekua karibu ningekulamba kofi
[emoji3] [emoji3] [emoji3] we umetishaMi nishabadilisha hadi kabila,baada ya kule nilipotaka kuoa kusema hawatupendi wamasai!
ukitubu na kufuta hzo laana zote haziwezi kutokea tena kwa kizazi chakoMkuu huo ndio ukweli Wengi tunapitia Mule mule walikopitia aitha babu zetu au Wazazi wetu.. Unaweza fanya maamuzi kwenye mahusiano ukadhani upo sahihi lakini kama ukifuatilia unakuta ni maagano ambayo mmoja wa Familia Yenu yalishatokea. Walioachana kwenye Mahusiano ulizia Kuna mmoja wa Wazazi aidha aliachwa na baadae akaolewa tena au mume aliacha na kuoa tena au aliacha baadae wakarudiana au vyovyote vile.. Usingo Parent ulizia ni muendelezo wa yale ambayo wazazi wa wahanga waliyapitia tu hakuna kinachotokea bila kuwa na mzizi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaaaa daaahh hiyo kali haya baba ugonile.Hahaha,nilifuata kabila la mke wangu,Mnyakyusa,na ukoo kabisa wakanitengenezea!
Hakuna linaloshindikana mkuu!
Na yeye aliekufa pia hasara anayo, au unadhani akishakufa ndio ndio kila kitu kimeisha.