permanides
JF-Expert Member
- May 18, 2013
- 12,429
- 15,217
Hata bila kutaja yoyote, dini inayotenga watu walioenda dini nyingine inafahamika vizuriHizi dini 2 kubwa,sitaki kuzitaja ili kuepusha comments zenye misingi ya kidini
Hata bila kutaja yoyote, dini inayotenga watu walioenda dini nyingine inafahamika vizuriHizi dini 2 kubwa,sitaki kuzitaja ili kuepusha comments zenye misingi ya kidini
Mkuu huo ndio ukweli Wengi tunapitia Mule mule walikopitia aitha babu zetu au Wazazi wetu.. Unaweza fanya maamuzi kwenye mahusiano ukadhani upo sahihi lakini kama ukifuatilia unakuta ni maagano ambayo mmoja wa Familia Yenu yalishatokea. Walioachana kwenye Mahusiano ulizia Kuna mmoja wa Wazazi aidha aliachwa na baadae akaolewa tena au mume aliacha na kuoa tena au aliacha baadae wakarudiana au vyovyote vile.. Usingo Parent ulizia ni muendelezo wa yale ambayo wazazi wa wahanga waliyapitia tu hakuna kinachotokea bila kuwa na mzizi.Kuna wakati naliwaza hili lakini nilishafunga na kutubia sana kuhusu baadhi ya makosa ambayo aliyafanya mzee na yanaoneakana kujirudia kwenye familia
umewaza mbali..Hamna kilichokukuta. Nimpe pole huyo bi Dada. Yeye ndie yamemkuta.
That is just an excuse. Things did not happen suddenly.
Your heart desires something new and you are looking for loopholes available so you can dump her.
Mwisho wa siku hakuna atakaeishi milele.Be happy now, OA, hayo ya ugomvi na kifo yatajijua yenyewe
Mwisho wa siku hakuna atakaeishi milele.
Na ndio ujinga uliofanya wazee wetu wakafungwa minyororo shingoni kama mbwaHizi dini zinaleta kizazaa.
Msomi kukumbatia mambo ya dini ni ushamba na kutoelimika.
Kwangu dini ni ujinga tuu
Tatizo ndugu japo bi mkubwa anasema ananisupport kwa lolote nitakaloamua lakini wajomba wanagoma na sisi watu wa Pwani mjomba ana sauti kubwa
Muambie yeye abadiliMwanzoni niliona rahisi tu lakini sasa nataka kufanya uamuzi hii reaction inayotokea sikuwahi kuitarajia
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mi nishabadilisha hadi kabila,baada ya kule nilipotaka kuoa kusema hawatupendi wamasai!
umewaza mbali..
Now i can see it...Its not so hard to see the truth Mr Miller
Sio rahisi kama unavyofikiriaHamna kilichokukuta. Nimpe pole huyo bi Dada. Yeye ndie yamemkuta.
That is just an excuse. Things did not happen suddenly.
Your heart desires something new and you are looking for loopholes available so you can dump her.
Nitaitafuta mkuuNenda katazame movie ya Gadar epic....mle ndani yupo mtoto wa dhalmendra sin, karisma kapoor pamoja na mwanaume anayeitwa amri shipur.
Ukishaitazama uje na mrejesho hapa.
12 years and the thought of a different religion never crossed his mind?Now i can see it...