Pablo Blanco
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 7,328
- 6,591
Mimi Ni Mende first class mwenye PhD,Leo naelekea south,nikimaliza mizunguko yangu hapa jozi,ntaenda Swaziland japo kwa week mbili, tayari nimempata mwenyeji wa huko,ntaleta mrejesho zaidi
Wawili wanatosha weweeeeHapa kwetu labda waseme tuoe zaidi ya 10 maana wawili tu bado tutachepuka.
Labda watakutosha wewe.Wawili wanatosha weweeee
hukoku kuto vaa nguo ni utamaduni or ndoo kuonyesha vivutio kwa waoaji?Mimi Ni Mende first class mwenye PhD,Leo naelekea south,nikimaliza mizunguko yangu hapa jozi,ntaenda Swaziland japo kwa week mbili, tayari nimempata mwenyeji wa huko,ntaleta mrejesho zaidiView attachment 1097319View attachment 1097320View attachment 1097321View attachment 1097322
Kwa Umri uliofikia kuanza itakuwa ngumu, ila ungekuta ndio watu wanavaa hivyo wala usingejiuliza.Hivi mabinti wa kitanzania tu naweza vaa hiyo matiti nje?
Nawaza tu
hukoku kuto vaa nguo ni utamaduni or ndoo kuonyesha vivutio kwa waoaji?Mimi Ni Mende first class mwenye PhD,Leo naelekea south,nikimaliza mizunguko yangu hapa jozi,ntaenda Swaziland japo kwa week mbili, tayari nimempata mwenyeji wa huko,ntaleta mrejesho zaidiView attachment 1097319View attachment 1097320View attachment 1097321View attachment 1097322
Hivi mabinti wa kitanzania tu naweza vaa hiyo matiti nje?
Nawaza tu
Mbele ya bunduki labda ntavaa..hahaaKwa Umri uliofikia kuanza itakuwa ngumu, ila ungekuta ndio watu wanavaa hivyo wala usingejiuliza.
Najua kuna kitu umewaza zaidi ya hiki.
Kwa kuwaangalia tu mienendo yao wanatamani sana, sema sheria na baadhi ya tamaduni zinawabana.
Tusilolijua ni sawa na usiku wa giza, kama tamaduni au sheria zingeruhusu ungejikuta unabaki kushangaaKwa baadhi aisee...hawa wanaotemebea na vichupi na sididria..
Mbona hao wachache mkuu, King Solomon alikua na wake 700 na masulia 300, anatakiwa kuongeza juhudi.Mfalme Ana Wake 15 Aisee Hii Hatari
Zimefikanitakuagiza, ila wasalimie pia!
HahaaaaHivi mabinti wa kitanzania tu naweza vaa hiyo matiti nje?
Nawaza tu
Style tuhukoku kuto vaa nguo ni utamaduni or ndoo kuonyesha vivutio kwa waoaji?
Kibongo wanayaachia wazi kea nusu tuHivi mabinti wa kitanzania tu naweza vaa hiyo matiti nje?
Nawaza tu