Hatimaye Waziri Kapuya Afunguka Mwenyewe Live!!

Hatimaye Waziri Kapuya Afunguka Mwenyewe Live!!

Maelezo haya ukiwa mjinga unaweza yaamini..so denti alimfuata akaomba 3m ya ada akaitoa bang!!! leo anamuita mama sio sweetie!!
 
SASA NI MUDA MUAFAKA WA KABiNTI KAKAJA NA VIELELEZO VYAKE KAKAZUNGUMZA NA "RADIO"all story without get some from otherside,its just like ""passing air""
 
- Jamani hakuulizwa haya maswali sasa kwenye sheria unajibu vipi maswali ambayo hukuulizwa?

Le Mutuz

But hayo ndiyo yalikuwa madai from day one. Kujitokeza kwake kwenye vyombo vya habari ni kujibu madai ambayo yameelekezwa kwake. Badala ya hizi ngonjera angejibu hoja/madai kama yalivyokuwa yameorodheshwa. Na bado kuna madai ya kepeana gari!

Kapua anadai hizi ni njama za maadui wake wa kisiasa, wakati huo huo anakubali kumjua binti na amekuwa anamtumia pesa. Maana yake ni kwamba hao maadui wake wa kisiasa wanamfahamu vizuri kwamaba he is a zipper na wametumia huo udhaifu wake kummaliza.

This whole this is such a mess alichokifanya ni kuzidi kulikoroga.
 
Uhuru1 njoo huku uendeleze ile story ya huyu babu baharia bwabwa.
 
Last edited by a moderator:
Madai ya msingi yalikuwa kubaka na baadae kumgeuza huyo binti kama prostitute wake.

Hivyo Kapuya angejibu hoja (mfano) kama ambavyo aliwahi kujibu mzito mmoja huko majuu na kusema kuwa "I did not have a sexual relation with that binti".

Lakini hadi sasa, Kapuya pamoja na ma-apologist wake wanaonaka kukubali madai yaliyotolewa na huyo binti. Kwamba,
1. Anakubali kuwa anamjua 'huyo' binti
2. Amekuwa ana ampa hela

Sasa basi anafafanue amekuwa anampa hela kwa misingi gani? Hivi inaingia akilini kweli umpe mtu baki 2,300,000 tena mtu uliyekutana naye muda mfupi?

Pia afafanue,
- alikutana na huyo binti kwa mra ya kwanza lini?
- Alikutana naye vipi, na wapi?
- Ni lini alijua huyo binti ana umri zaidi wa miaka 16, na nani alimpa hizo taarifa?
- Mara ya mwisho kuwasiliana na huyo binti ilikuwa lini?
Maswali haya hayajibiwi.
Tunaaminishwa Kapuya ni tupa tupa ukikutana naye tu 2.3M mfukoni.

Kitu kizuri hajasema kuwa hawajafanya mapenzi!!
Hajakana nanmba ya simu
Halafu anataka kumshtaki binti na siyo Tanzania daima.
Amekubali 700,000 zilitoka kama alivyodai binti
Kakubali kuwa aliongeza 2.3M

Kwa mtu mwenye kufikiri majibu haya yanafungua zaidi kuliko alivyofunguka.
Haya si majibu kutoka kwa profesa! lakini tunajua mazingira ya ngono humadili mtu na anaweza kubweka kama mnyama. Ngono ikisemwa ni shetani ni shetani kweli maana prof anajibu kama mtu wa mtaani! te teh teh.
 
- Duh! kwa hiyo haya ni mashitaka tosha ya kumfunga Kapuya mahakamani? Asante!!

LE Mutuz
 
Awali, Profesa alionekana kukana kabisa- hamjui binti. Ghafla anaiubukia Kaliua na kukubali anamfahami binti!

Kama ulivyosema, kuna dalili ya kubweka maana madai ya binti ni kwamba Profesa alimpa Sh 700,000. Lakini sasa anajitokez mzee mzima na kusema sio shs700,000 tu, bali alitoa zaidi shs 2.3m!
Tusubiri, pengine kesho ataongelea madai ya benz!
 
- Duh! kwa hiyo haya ni mashitaka tosha ya kumfunga Kapuya mahakamani? Asante!!

LE Mutuz
Tunachojaribu kukuonyesha ni kuwa huwezi kupumbuza kila mtu.
Majibu ya profesa yaana maana kwako kwetu sisi ni pumba.

Kajibu kama mtu wa mtaani na kuonyesha wazi kuwa anamfahamu binti, alimpa pesa, alikutana naye, hajakana namba ya simu. Profesa anapokwenda kumshitaki binti na si gazeti lililomwandikia ni kiwango duni cha kufikiri.
Profesa hajakana binti kwenda bungeni au polisi.

Bunge halijakataa binti kupeleka madai. Kova kasema hayo ni mambo 'BINAFSI''.
Halafu leo kuna mtu anadhani anaweza kuupumbuza ulimwengu kwa hoja nyanya na za kitoto namna hiyo.

Profesa aseitudanganye kuwa kuna watu wanamvurugia malengo, ajitokezo ajibu hoja kwa mantiki si kubabisha.

Le Mutu utetezi wako hauna maana, mashiko wala heshima. Wewe kamuombe radhi kwa sms au simu.
Sisi tunasema profesa na waziri ni kituko na kichekesho kwa jamii. Shame.

Kwanza kukutwa na tuhuma hizi ni kashfa kabla hatujafunua ya chumbani. Too low, shame on him shame on you.
 
- Ni kawaida ya mlevi kuamini wengine wote ni walevi kama yeye naona unajisema mwenyewe wewe ni nani duh!!

LE Mutuz

Muulize Uhuru1 alichosema kuhusu wewe kwenye post yako nyingine ya kumtetea Kapuya, mimi sijasema ila ninachokushangaa ni jinsi unatetea wanaume wapiga mpini, nini tatizo hapa???
Suala ni la Kapuya wewe umetoka wapi kumtetea, au wewe ni wakili wake hapa jf??
Kakutuma??
Au umetumwa kwa niaba ya Kapuya kupitia Global Publisher???
Who're u kumtetea Kapuya??
Hebu tupe position kwa Kapuya then tueendelee mbele
 
Last edited by a moderator:
Awali, Profesa alionekana kukana kabisa- hamjui binti. Ghafla anaiubukia Kaliua na kukubali anamfahami binti!

Kama ulivyosema, kuna dalili ya kubweka maana madai ya binti ni kwamba Profesa alimpa Sh 700,000. Lakini sasa anajitokez mzee mzima na kusema sio shs700,000 tu, bali alitoa zaidi shs 2.3m!
Tusubiri, pengine kesho ataongelea madai ya benz!
Anaulizwa kama anajua namba ya simu anasema ana laini tatu! who cares hata kama anazo 10. Swali ni kuwa laini iliyotumika ni yake.

Gazeti lina ushahidi wa kuwasiliana naye hivi karibuni, yeye anasema hajaitumia miezi 6.
Tanzania Daima wamekomaa naye ndio maana hataki kuwashtaki. Tanzania daima wana nondo wanamsubiri aje kichwa kichwa wamfyatue.

Eti prof anagawa pesa kwa wapi njia, teh teh teh. Huyu ni prof !

FJM, ngono siku zote haina adabu, haichagu prof wala mbeba mizigo. Ni kama watu wanapokuwa wanapiga mzigo hakuna degree au diploma, formaula ni ile ile na ndicho kinamkuta prof sasa hivi. Anajitetea kama mpita njia.

Majibu yake ukiyasoma kama humujui huwezi kuamini ni prof, utajua ni kibaka fulani mazese kwa mduga amefumaniwa anatoa utetezi.

Hata kama huyo binti ni tapeli au kahaba bado prof ametia kinyaa na aibu.

Halafu kuna mtu anadhani sisi sote ni wapuuzi.
 
With all the people WHY Le Mutuz pekee ndo awe kinara wa kumtetea Kapuya? Amelipwa kiasi gani cha pesa kumtetea? Yeye huyu Le Mutuz ni nani? Msemaji wa Kapuya??? Au ni wakili wake? Au ni mtumwa wa Kapuya? Au kwa sababu ametokea katika chama cha kulindana na kudanganya watanzania na kutuona hatuna akili? Yeye pekee na wa chama chake ndiyo wanajua sana kila kitu??? Ni Judge huyu?? Ni polisi wa upelelezi??? Why him kila kona kupost namna ya kumsafisha Kapuya????
 
Tunachojaribu kukuonyesha ni kuwa huwezi kupumbuza kila mtu.
Majibu ya profesa yaana maana kwako kwetu sisi ni pumba.

Kajibu kama mtu wa mtaani na kuonyesha wazi kuwa anamfahamu binti, alimpa pesa, alikutana naye, hajakana namba ya simu. Profesa anapokwenda kumshitaki binti na si gazeti lililomwandikia ni kiwango duni cha kufikiri.
Profesa hajakana binti kwenda bungeni au polisi.

Bunge halijakataa binti kupeleka madai. Kova kasema hayo ni mambo 'BINAFSI''.
Halafu leo kuna mtu anadhani anaweza kuupumbuza ulimwengu kwa hoja nyanya na za kitoto namna hiyo.

Profesa aseitudanganye kuwa kuna watu wanamvurugia malengo, ajitokezo ajibu hoja kwa mantiki si kubabisha.

Le Mutu utetezi wako hauna maana, mashiko wala heshima. Wewe kamuombe radhi kwa sms au simu.
Sisi tunasema profesa na waziri ni kituko na kichekesho kwa jamii. Shame.

Kwanza kukutwa na tuhuma hizi ni kashfa kabla hatujafunua ya chumbani. Too low, shame on him shame on you.
Huyo Lempuuzi ni mpuuzi km mapuya. Anaargue ili tu kuargue ili watu wakasirike. Yeye na Kapuya Lao moja ndo maana anamkingia kifua.
 
Hili ni kosa kubwa sana la kiufundi katika maisha ya kisiasa ya huyu mzee.
 
Roho mbaya na wivu utatumaliza wabongo,tunapenda shupalia vitu vicvojenga hata kdogo,hata kama waliwah date wewe knakuhusu nn?ule mpango wa kando n yy na maisha yake huyu mmama ajipange tu kujieleza kama amatumwa make mwisho wa sku watumaji wanakimbia sheria ikishika hatam,unajiita mtoto tayar unamtoto yan hii nchi bhana na mijitu imeamin juz wamewaonesha video ya Lwakatare akipanga ugaid na Rudovc mkasema imetengenezwa leo stor ya upande mmoja mmeshikilia bango kaz hamfanyi kaz kupga udaku tu huku,kumbe wadaku kote kote sio facebook tu wala insta hata JF mpo
 
Back
Top Bottom