Hatimaye Waziri Kapuya Afunguka Mwenyewe Live!!

- Jamani maneno kasema Kapuya mimi kosa langu ni nini hasa wajameni? ha1 ha! ha!

LE Mutuz
32348_4820843478200_1475254971_n.jpg

Kama kiongozi wa Jumuiya ya Wazazi una uchungu na watoto?
 
Mkuu WJ Malecela, naona uko kila kona kila dakika kila mahali vehemently kumtetea huyu Kapuya. Mna uhusiano gani?
You seem to have suddenly became a staunch ally/supporter of mheshimiwa Kapuya.
I'm just curious.
...Baba yake alikuwa makamo wa rais na waziri mkuu kapuya alikua waziri wa elimu na baadae ulinzi.na wote ni wanachama wa ccm. Ok sasa waulize na hao wanao post na kuandika ktk magazeti kila siku kila dakika wana bifu gani na prof kapuya? Ndio tukuone una balance na huko upande wowote au na ww unakubali shutuma anazopewa kapuuya? Kama unakubaki mtafute huyo binti umsaidie kupata hiyo haki aliyo dhulumiwa. Haimsaidii kujibizana humu..humu hamutolewi haki ni kupimana iq tu
 
Mh Sitta jana alikuwa anazungumza katika mahafali ya kidato cha nne shule ya Agape Seminari , Marangu Moshi anasema:

" Nchi imefika pabaya kama viongozi wanaweza kutoa vitisho na tambo za watoto wao kuuza dawa za kulevya huku vyombo vya dola vikishindwa kuchukua hatua". " Nchi imegawanyika makundi ambapo baadhi ya viongozi wamekuwa na kiburi cha kutamba kwamba hawawajibiki kwa vyombo vya kisheria".

Sitta alitoa mfano wa Waziri mstasfu ambaye sasa ni mbunge, aliyeripotiwa na vyombo vya habari kumtisha mtoto aliyemtuhumu kwa kumbaka mara mbili alipoitwa kwake kuchukua ada.

Alisema polisi hawajachukua hatua hata ya uchunguzi tu na kubaini kwamba Tanzania ni nchi kubwa haiwezi kuendeshwa hovyo hivyo tu, na kwamba lazima iendeshwe kwa viwango vya maadili vitakavyoleta maendeleo.
 
Nafikiri angeanza kwa kusema ilikuwaje hadi akaamua kmusaifdia huyo binti hiyo fedha ya ada,amesema kuna majambazo walikuwa wanashirikiana na huyo binti je alijuaje kuwa ni majambazi?kama kiongozo alichukua hayua gani kuhusu hao majambazi?jambo jingine ni kwamba amesema huyo bonti ni tapeli na anajua kwamba kuna watu aliwatapeli tena amemtsja mkurugenzi fulani wa benk kwaa hiyo yeye ni mtu wa pili kutapeliwa so imekuwaje asichukue hatuavdhidi ys huyo binti?kwa maelezo yake inaonekana ansmfahamu sana huyo binti nafikri mwandishi angemhoji kufahsmiana sana na hyuo bint nini chanzo chske?
 
Mh Sitta jana alikuwa anazungumza katika mahafali ya kidato cha nne shule ya Agape Seminari , Marangu Moshi anasema:

" Nchi imefika pabaya kama viongozi wanaweza kutoa vitisho na tambo za watoto wao kuuza dawa za kulevya huku vyombo vya dola vikishindwa kuchukua hatua". " Nchi imegawanyika makundi ambapo baadhi ya viongozi wamekuwa na kiburi cha kutamba kwamba hawawajibiki kwa vyombo vya kisheria".

Sitta alitoa mfano wa Waziri mstasfu ambaye sasa ni mbunge, aliyeripotiwa na vyombo vya habari kumtisha mtoto aliyemtuhumu kwa kumbaka mara mbili alipoitwa kwake kuchukua ada.

Alisema polisi hawajachukua hatua hata ya uchunguzi tu na kubaini kwamba Tanzania ni nchi kubwa haiwezi kuendeshwa hovyo hivyo tu, na kwamba lazima iendeshwe kwa viwango vya maadili vitakavyoleta maendeleo.

- Yaaani jamani kweli great thinkers badala ya kuchambua maneno ya Kapuya mnaanza kusema maneno ya Sitta, please!!

Le Mutuz
 
Hahaha eti Mheshimiwa Profesa kapuya kazungumza na gazeti la ijumaa "nipo kijijini sipati gazeti kwa wakati!" (I doubt that!)...kuna watu wengi sana wanahitaji msaada wasome,huyo binti "hakushushwa tu" ndio akapewa hizo 2,300,000..Kwa uchumi huu hata bill gates hakupi 2 eti kisa anakuonea huruma,lazima anakujua au ana taarifa zako kutoka source inayoeleweka......I think there is something hidden there!
 
- Yaaani jamani kweli great thinkers badala ya kuchambua maneno ya Kapuya mnaanza kusema maneno ya Sitta, please!!

Le Mutuz
Yanamhusu Kapuya aliyetoa tamko hili. Viongozi wa CCM wameanza kumkana.

Tunategemea Jumuiya ya Wazazi CCM itueleze msimamo wake kwa hili. Je mko na Kapuya au na Mtoto.

32348_4820843478200_1475254971_n.jpg

Mlipoomba kura mlituambia mna uchungu na watoto.
 
- Jamani mimi nilidhani great thinkers watakuwa busy kukata ishu kwa kuchambua hoja za Kapuya sasa imekuwa maneno maneno tu yasiyo na tija vipi wakubwa sana? ha1 ha!

LE Mutuz
 
Namba za simu zilizotumika kuonyesha SMS ni zake?
Je, anataraji kumfikisha mwanafunzi huyo mahakamani au gazeti lililotoa habari hiyo.
Je ni kweli alikwenda bungeni? Mbona bunge halijakanusha kumuona mwanafunzi huyo!
Je, ni kweli alikwenda kituo cha polisi, mbona polisi hawajakanusha zaidi ya kusema Kapuya hana la kujibu kwasababu ni mambo ya wawili

Endapo mwanafunzi huyo ni tapeli, je hiyo inamuondoa mheshimiwa katika kashfa kwamba hakuhusika.

sh 700,000 zilizodai zimetumwa kwa njia ya simu na sasa Kapuya anadai alimpa, je haziwezi kutengeneza uanganisho?
Na kwanini Kapuya ampe milioni 2.. na wala si kumtafutia suluhisho la kudumu kupitia taasisi husika ?

Kuhusu kutembea na mwanafunzi huyo, nani anaweza kutoa ushahidi wa ukweli maana lazima kuwe na watu wawili, mtenda na mtendewa. Sasa mtenda akisema hajafanya, mtendewa akasema amefanyiwa kwanini tuamini upande mmoja.

Madai ya msingi yalikuwa kubaka na baadae kumgeuza huyo binti kama prostitute wake.

Hivyo Kapuya angejibu hoja (mfano) kama ambavyo aliwahi kujibu mzito mmoja huko majuu na kusema kuwa "I did not have a sexual relation with that binti".

Lakini hadi sasa, Kapuya pamoja na ma-apologist wake wanaonaka kukubali madai yaliyotolewa na huyo binti. Kwamba,
1. Anakubali kuwa anamjua 'huyo' binti
2. Amekuwa ana ampa hela

Sasa basi anafafanue amekuwa anampa hela kwa misingi gani? Hivi inaingia akilini kweli umpe mtu baki 2,300,000 tena mtu uliyekutana naye muda mfupi?

Pia afafanue,
- alikutana na huyo binti kwa mra ya kwanza lini?
- Alikutana naye vipi, na wapi?
- Ni lini alijua huyo binti ana umri zaidi wa miaka 16, na nani alimpa hizo taarifa?
- Mara ya mwisho kuwasiliana na huyo binti ilikuwa lini?
 
View attachment 122022
........huyo hapo juu ndiye mtetezi wa mtuhumiwa wa kesi ya ubakaji....

hapa chini ni mtuhumiwa mwenyewe wa ubakaji
kapuya.jpg.....View attachment 122025..

huyu hapa chini ndiye mshauri wa mtuhumiwa
View attachment 122026

hapa chini ni kikosi kazi kikipanga mikakati ya kumuangamiza kabisa huyo mbakwaji. chini ya katibu wao mkuu wa chama.

View attachment 122027

sapoti kubwa kabisa ya haya yote inatoka kwa mwenyekiti wa chama huyu hapa chini
jk disco joker.jpg mwenyekiti huyu ni mtu makini sana soma hayo mabango anayoyashangilia hapa chini

View attachment 122030 View attachment 122031
 
Madai ya msingi yalikuwa kubaka na baadae kumgeuza huyo binti kama prostitute wake.

Hivyo Kapuya angejibu hoja (mfano) kama ambavyo aliwahi kujibu mzito mmoja huko majuu na kusema kuwa "I did not have a sexual relation with that binti".

Lakini hadi sasa, Kapuya pamoja na ma-apologist wake wanaonaka kukubali madai yaliyotolewa na huyo binti. Kwamba,
1. Anakubali kuwa anamjua 'huyo' binti
2. Amekuwa ana ampa hela

Sasa basi anafafanue amekuwa anampa hela kwa misingi gani? Hivi inaingia akilini kweli umpe mtu baki 2,300,000 tena mtu uliyekutana naye muda mfupi?

Pia afafanue,
- alikutana na huyo binti kwa mra ya kwanza lini?
- Alikutana naye vipi, na wapi?
- Ni lini alijua huyo binti ana umri zaidi wa miaka 16, na nani alimpa hizo taarifa?
- Mara ya mwisho kuwasiliana na huyo binti ilikuwa lini?

- Jamani hakuulizwa haya maswali sasa kwenye sheria unajibu vipi maswali ambayo hukuulizwa?

Le Mutuz
 
View attachment 122022
........huyo hapo juu ndiye mtetezi wa mtuhumiwa wa kesi ya ubakaji....

hapa chini ni mtuhumiwa mwenyewe wa ubakaji
View attachment 122024.....View attachment 122025..

huyu hapa chini ndiye mshauri wa mtuhumiwa
View attachment 122026

hapa chini ni kikosi kazi kikipanga mikakati ya kumuangamiza kabisa huyo mbakwaji. chini ya katibu wao mkuu wa chama.

View attachment 122027

sapoti kubwa kabisa ya haya yote inatoka kwa mwenyekiti wa chama huyu hapa chini
View attachment 122029 mwenyekiti huyu ni mtu makini sana soma hayo mabango anayoyashangilia hapa chini

View attachment 122030 View attachment 122031

- Jamani yamekuwa haya tena, lahaula! ha1 ha! ha! ha!

Le Big Show
 
View attachment 122022
........huyo hapo juu ndiye mtetezi wa mtuhumiwa wa kesi ya ubakaji....

Hapa chini ni mtuhumiwa mwenyewe wa ubakaji
View attachment 122024.....View attachment 122025..

Huyu hapa chini ndiye mshauri wa mtuhumiwa
View attachment 122026

hapa chini ni kikosi kazi kikipanga mikakati ya kumuangamiza kabisa huyo mbakwaji. Chini ya katibu wao mkuu wa chama.

View attachment 122027

sapoti kubwa kabisa ya haya yote inatoka kwa mwenyekiti wa chama huyu hapa chini
View attachment 122029 mwenyekiti huyu ni mtu makini sana soma hayo mabango anayoyashangilia hapa chini

View attachment 122030 View attachment 122031
kamanda hizo picha zimefurahisha mno , asante sana .
 
Madai ya msingi yalikuwa kubaka na baadae kumgeuza huyo binti kama prostitute wake.

Hivyo Kapuya angejibu hoja (mfano) kama ambavyo aliwahi kujibu mzito mmoja huko majuu na kusema kuwa "I did not have a sexual relation with that binti".

Lakini hadi sasa, Kapuya pamoja na ma-apologist wake wanaonaka kukubali madai yaliyotolewa na huyo binti. Kwamba,
1. Anakubali kuwa anamjua 'huyo' binti
2. Amekuwa ana ampa hela

Sasa basi anafafanue amekuwa anampa hela kwa misingi gani? Hivi inaingia akilini kweli umpe mtu baki 2,300,000 tena mtu uliyekutana naye muda mfupi?

Pia afafanue,
- alikutana na huyo binti kwa mra ya kwanza lini?
- Alikutana naye vipi, na wapi?
- Ni lini alijua huyo binti ana umri zaidi wa miaka 16, na nani alimpa hizo taarifa?
- Mara ya mwisho kuwasiliana na huyo binti ilikuwa lini?

na kuna swala la benzi, je ni gari lake au analifahamu?
 
  • Thanks
Reactions: FJM
View attachment 122022
........huyo hapo juu ndiye mtetezi wa mtuhumiwa wa kesi ya ubakaji....

hapa chini ni mtuhumiwa mwenyewe wa ubakaji
View attachment 122024.....View attachment 122025..

huyu hapa chini ndiye mshauri wa mtuhumiwa
View attachment 122026

hapa chini ni kikosi kazi kikipanga mikakati ya kumuangamiza kabisa huyo mbakwaji. chini ya katibu wao mkuu wa chama.

View attachment 122027

sapoti kubwa kabisa ya haya yote inatoka kwa mwenyekiti wa chama huyu hapa chini
View attachment 122029 mwenyekiti huyu ni mtu makini sana soma hayo mabango anayoyashangilia hapa chini

View attachment 122030 View attachment 122031

mkuu nimeshindwa kujizuia kutoa like,natumia simu chukua like yangu
 
Hahahaha huyu prof. kwa kweli amechanganyikiwa kila siku anakuja na majibu tofauti andhan anazidi kuchanganya., kabla alisema bint hamjuw saivi anadai anamjuwa tn ni mtu mzima lakn anaonekana ni mdogo., hilo ni moja tu na mengine kibao amechanganya changanya tu.,
 
  • Thanks
Reactions: FJM
Back
Top Bottom