PureView zeiss
JF-Expert Member
- Sep 5, 2016
- 10,281
- 34,329
Kufuatia Rais Donald Trump wa Marekani kuahidi kuwarudisha wakimbizi hatimae leo umeanza mpango kabambe wa kuwarudisha wasomali 90.
Akizungumza na redio DW msemaji wa serikali ya Somalia amesema kuwa leo mchana wasomali hao walikamatwa tokea wiki iliyopita kusubiri safari ya kurudishwa mjini Mogadishu,kufuatia hali hii itakuwa shida sana kwa hawa ndugu zetu kuishi Marekani na huu mwanzo kufuatia sheria ya wahamiaji kutiwa saini hapo juzi ukiwataka wahamiaji kutoka Somalia,Iraq,Syria,Afghanistan na Yemen kupigwa marufuku kuingia USA.
Chanzo: Radio DW