Hatimaye Wanaanga waliokwama angani Miezi 9 warejea duniani

Hatimaye Wanaanga waliokwama angani Miezi 9 warejea duniani

Kuna raia hawaamini hili, wanasema ni hadithi ya kutengeneza.

Mathanzua
Hii si hadithi ya kutengeneza,ni kweli.Unajua Proved,kwa kuwa watu hawasomi,bado wapo kwenye enzi za ujima.Ni hao hao ambao wameshindwa kabisa kuamini kuwa Volcanoes now are man made,joto kama hili tunalosumbuka nalo ni man made by the High Frequency Active Auroral Research Programme at Gakona Alaska,,floods are mad,hurricanes are man made etc...In general what we used to call natural disasters are not entirely natural anymore,they are also man made these days.Science has advanced in a way which a normal mind cannot comprehend.
 
Back
Top Bottom