Hatimaye wamemdaka

Hatimaye wamemdaka

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
360,446
Reaction score
829,809
1423147877527.jpg
 
Huyu sio askari wa bongo lol.. Ampeleke mtuhumiwa kiupole hivi..?
 
rafiki zangu wakenya uwa wananicheka sana,wanasema polisi wetu wa tanzania uwa wanasema " tafadhali naomba tuandamane wote kituo cha polisi" wakati polis wao wasema twende uku jin ga wewe,mtama....kipigo...kilungu,makofi...mkola wewe..
 
panya road zaidi ya 200 wamekamatwa tandale wapo mabatini polisi

Kwa jinsi ninavyoifahamu mabatini polisi kuwaweka panyaroad 200 mahabusu na wote wakaenea yaweza kuwa ajabu la tisa la dunia
 
wanaume wa dar bure kabisa mnavyoogopa hao watoto eti mkiwasikia mnatoka mbio!!!, huku mikoan sisi wanaume tosha wangechezea ngumi za chembe tu mpaka wafe.
 
jina halisi ni panya load,
yaani wao wanaload kila kitu kilicho mbele yao
 
Back
Top Bottom