Hatimaye waliomkata mkono Mwigulu wakamatwa

Hatimaye waliomkata mkono Mwigulu wakamatwa

Aisee nilishtuka kweli!!
Mie bado nimeshitushwa na tukio hili kupita maelezo ,mungu apishilie mali lakini kama ningepewa nafasi ya kuwahukumu watu hawa adhabu ambayo ningewapa ni balaa ,maana ningewataka kila siku wakatane kidole kimoja kimoja cha miguuni kwa ajili ya breakfast yao,halafu viungo vingine!wangenikomaje!
 
Mie bado nimeshitushwa na tukio hili kupita maelezo ,mungu apishilie mali lakini kama ningepewa nafasi ya kuwahukumu watu hawa adhabu ambayo ningewapa ni balaa ,maana ningewataka kila siku wakatane kidole kimoja kimoja cha miguuni kwa ajili ya breakfast yao,halafu viungo vingine!wangenikomaje!


Mkuu mimi sikushtuka kukamatwa kwao maana hii habari ni muendelezo tu wa kile nilichokisikia kabla!Kuna uzi ulishawahi letwa siku kadhaa kuhusu mlemavu huyu kukatwa mkono. Binadamu tumekuwa wanyama jamani, tunafanya vitu vingine hadi shetani mwenyewe anaogopa.
 
aiseee nimecheka sana, wengi wanatamani angekuwa ni mwigulu nchemba wamemlamba mkono.....!!!! hahaha
 
Duh.!!! Mwigulu Ngoja niheme kwanza......

Pole dogo.
 
mil 600 si nampeleka ndugu yangu wakamkate mkono tu tutafuta wa bandia
sasa huyo mganga mwenyewe anaewatuma hao wauaji zaidi ya saba eti atawalipa kila mmoja milioni mia sita wakimletea mkono wa albino yeye anakaa kwenye nyumba ya tope na hata hela ya mlo wa siku moja inamsumbua hayo mabilioni aliyoahidi kuwalipa atayatoa wapi?hao waliokata mkono wa albino hawajiulizi ktk akili zao huyo mganga hiyo hela ataitoa wapi?ni ujinga tu umewatawala watu hao.wanyongwe tu tena hadharani
 
Tanzania si nchi salama tena maake kila uchao haya matukio yanatokea mara milipuko kwenye Ufunguzi wa Kanisa jipya kule Arusha,cha kujiuliza iko wapi serikali na jeshi la police ukiachilia mbali mlipuko ule wa Arusha ambao umetokea leo,Lakini hili la kuuwawa kwa Albino lipo kila siku miaka hada miaka halikomi na washukiwa wamekamatwa lakini hakuna adhabu kali iliyotimizwa hadi leo ambayo ipo kikatiba yaani ile ya KUNYONGA wale wote waliohusika kuwauwa ALBINOS ndio maana nasema serikali imekaa kimya kama Rais atatimiza masharti au nisema kama alivyoapa kuilinda na kuitetea katiba na kufanya yale yote yalio katika katiba basi angefanya uamuzi mgumu hata kama Mataifa yatamlaumu kwa hukumu ya kifo kwa wahalifu hawa.Hii itasaidia sana kama wahalifu watanyongwa kwani itakuwa kama si mwisho basi ndio utakaribia mwisho wa maovu kama haya.Wake up Mr President just do it.
 
Nilianza kufurahi nkahisi ni yule mzinzi mwigulu wa iramba,ghafla furaha yangu imekata na kuwa huzuni...
Wazazi nao inabd waangalie majina ya kuwapa watoto wao maana jina la mwigulu limelaaniwa na ndiyo maana mtoto mwigulu akakutana na yaliyomkuta.
Pole mtoto mwigulu

Kweli mtoto mana nlijua ni lile gamba
 
Lupe kuwa na chembe hata ya huruma kwa binadamu mwenzio

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
Aaaah, huyo hata mimi simhrumii, kama vipi wangemzingua tu, anabambikiza wenzie ugaidi, sio wa kuchekea huyu.
 
Mtoto pole sana!
Si vibaya kumuombea mtu mabaya, nilidhani ni Nchema nijue wachawi wenzake wamemgeuka na nikawa natamani wasikate mguu tu bali hata ile kitu iliyomshughulia mke wa kada mwenzake kule Igunga, bila kusahau mdomo wake
 
mi nikajua mwanauchumi wa madesa.mungu amjalie huyo mgonjwa apone haraka
 
Nikajua ni mwigulu lamaeck lol! kumbe mtoto, pole mtoto
 
Wakati ambapo adhabu ya kifo inastahili ni hapa. Auwaye kwa upnga m auawe kwa upanga.
 
Back
Top Bottom