Me binafsi naona tofauti ,wana ukomavu wa demokrasia ya ndani so they are stronger,tofauti na kile chama ambacho ukitoa kauli ya kum contradict Mtendaji mkuu au ukigombea nafasi yake tu unakwenda na maji!!
Ulishawahi kusikia mwana ccm anamsema vibaya mwenyekiti wa chama vibaya jukwaani, ulishasikia mwanaccm anapanga njama za kumpindua mwenyekiti?
Uh na wewe, labda utueleze nini kilimkuta Kolimba na Kombe kama ni ukomavu wa demokrasia. Historia inatunza hata tusiyoyapenda ndo uzuri wakeMe binafsi naona tofauti ,wana ukomavu wa demokrasia ya ndani so they are stronger,tofauti na kile chama ambacho ukitoa kauli ya kum contradict Mtendaji mkuu au ukigombea nafasi yake tu unakwenda na maji!!
Uh na wewe, labda utueleze nini kilimkuta Kolimba na Kombe kama ni ukomavu wa demokrasia. Historia inatunza hata tusiyoyapenda ndo uzuri wake
Political judgement once based on fraud, is political gambling, while a true patriot is ready to shed his/her blood to save millions of his/her country men. Choose to be a patriotic hero or a fanatic politician embroiled in party politics and manifestos rather than bringing better life to your fellow citizens....kutokuwa na dira si uvujishaji wa siri bali 'critique'. Wasiopenda maendeleo hawapendi pia 'critique' check if we are not feeding on that table.Kuna utofauti wa uvujishaji siri na Ku make political argument
Kumbuka 2010 juu ya muhula mmoja badala ya miwili...what was that??????Ulishawahi kusikia mwana ccm anamsema vibaya mwenyekiti wa chama vibaya jukwaani, ulishasikia mwanaccm anapanga njama za kumpindua mwenyekiti?
Ulishawahi kusikia mwana ccm anamsema vibaya mwenyekiti wa chama vibaya jukwaani, ulishasikia mwanaccm anapanga njama za kumpindua mwenyekiti?
Kakobe sio wa kumuamini,alishawahi kumtabiria Mrema kuwa ndiye anafaa kuwa rais ni chaguo LA Mungu