Hatimaye Tunda aamua kuiuza account yake ya instagram

hanscana

Member
Dec 21, 2016
13
2
Mwanadada mrembo wa sura na mvuto wa hali ya juu wa kimapenzi anayetikisa bongo nzima kwa uzuri ambaye anatoka kimapenzi na rapper Young Dar es Salaam au young d aitwae Tunda hatimaye aamua kuiuza account yake ya instagram.

Screenshot_2017-01-08-13-51-12_1.jpg

Yapi maoni yako mdau?
 
Mwanadada mrembo wa sura na mvuto wa hali ya juu wa kimapenzi anayetikisa bongo nzima kwa uzuri ambaye anatoka kimapenzi na rapper Young Dar es Salaam au young d aitwae Tunda hatimaye aamua kuiuza account yake ya instagram

View attachment 456054

Yapi maoni yako mdau?
Hivi wewe umekuja juz tu jamii forum haujui nini kinaendeleaa na wewe unaamin hiyo ni account ya tundaa kweli tunda awe na followers 1.42K
 
Tena wanazinunua kwa bei Kubwa tu kwa sababu ya idadi ya followers na like wananunua ili watangazie biashara.
 
Mwanadada mrembo wa sura na mvuto wa hali ya juu wa kimapenzi anayetikisa bongo nzima kwa uzuri ambaye anatoka kimapenzi na rapper Young Dar es Salaam au young d aitwae Tunda hatimaye aamua kuiuza account yake ya instagram

View attachment 456054

Yapi maoni yako mdau?

Si kweli, hii ndio akaunti Official ya Tunda.

upload_2017-1-8_14-34-31.png
 
nchi hii wajinga wengi sana.. why usitangaze biashara kwa sponsored ads. kila mtu akaona awe ame kufollow au hajakufollow... sponsored ni cheap na imetengenezwa kwa ajili ya matangazo...

yaani ununue accounts ya mtu kisa ana followers wengi for biashara.. una uhakika gan kama hao followers sio ghost followers???

Tena wanazinunua kwa bei Kubwa tu kwa sababu ya idadi ya followers na like wananunua ili watangazie biashara.
 
nchi hii wajinga wengi sana.. why usitangaze biashara kwa sponsored ads. kila mtu akaona awe ame kufollow au hajakufollow... sponsored ni cheap na imetengenezwa kwa ajili ya matangazo...

yaani ununue accounts ya mtu kisa ana followers wengi for biashara.. una uhakika gan kama hao followers sio ghost followers???
Ndio hivyo mkuu wajinga ni wengi kweli mpk waje waamke watakua washachelewa.
 
Tangu nilipoona ile clip wa wale vijana wa daslama wakifanya yao chumbani nimjiapiza kutoutumia tena mtandao Wa instagram
 
mi nashindwaga kumuelewa tunda man juzi hapa kasema diamond ndugu yake maana hata yule igp wa zamani ana msikiti moro yaani samata noma aisee
#NIMEVURUGWA_NA_MAISHA
 
Back
Top Bottom