Hatimaye tumepima UKIMWI na mchepuko

Mnawezaje kuishi mbali na wake zenu? Mi mke wangu akijua ataenda kukaa mbali sehemu zaidi ya miezi miwili aondoke na talaka yake tu..kama ni kikazi aamue moja ndoa au kazi..
 
So far na utu uzima huu ,ukiweka mechi ya uwanja wa nyumban ,mechi za nje nimeuza 3 kati ya 6 nilizocheza viwanja tofauti tofauti na kwenye kupima pia naujua mziki wake ...sasa nasikitika huutaki ushauri wangu
Mkuu umecheza 6 sita tangu uingie ukubwani! basi utakuwa hutumii nguvu ulizopewa na mungu. Mi nimeuza 7 katu ya 20+ kuna college mate yeye alikuwa 70+ kipindi hicho ana miaka 30+ sasa yupo 40+ naona atakuwa anaelekea 100+ , mpaka mimi nikawa najihoji ulijali wangu.

Mkuu nguvu na matamanio tunatofautiana sana, kuna wanaume wa shoka hapa duniani
 
Siku ya Jumapili iliyopita nilileta mada kuomba ushauri jinsi navyoweza kupata PEP baada ya kuuza mechi.Sasa yule mwanamke nilimshawishi kwenda kupima akakubali na siku ya Jumatatu tukaenda kupima na kukutwa hatuna maambukizi.

Nilichojifunza:
1. JF watu wamejawa na hofu na vitisho wanaamini katika negative impact pasi na kifikiri kuwa kila jambo lina chance of 1/2 of win and loose, hivyo kila mtu ajenge msimamo wake kadiri alivyo kuzwa.

2. UKIMWI upo ila sio kila mtu anao, wengi hawana na wachache (10%) wanao na waliobaki ni wazima. Hii ni kutokana na ukweli kwamba tangu nianze kuitumikia dhambi ya Adamu na Hawa nimeshauza mechi mara sita mikoa ya nyanda za juu ambapo maambukizi yapo juu na sijawahi kupata maambukizi wala STD zaidi ya fangasi ambao ni common hata usipo date.

3. Uchaguzi wa mtu wa ku date nae ni jambo la msingi sana kuna wanawake wapo vurnarable t u hivyo si vyema kuuza mechi ukidate nae, mfano baamedi.

4. Kupima ni jambo la msingi sana na linakupa confidence ya maisha.

5. Kama huna sababu ya kudate nje ya ndoa hakuna sababu ya kufanya hivyo, binafsi naingia mtegoni kutokana na kuishi mbali na familia kikazi ila nikiwa home sithubutu na hakuna sababu.
Pengine unakibamia...
 
Hongera mkuu,usisahau kupima na kupata chanjo ya homa ya ini Hepatitis B ,hii inaambukizwa kwa njia ya majimaji ya mwili ,hasa semen na ukipata huwa hakuna dalili ini linachoka hadi kuwa na kansa na hapo kifo kinakusubiri.
 
Mkuu huwa sujurIpuki kama wanaja jf wanavyodhani, nimesema baada ya miaka 6 ndio nimeuza mech ila sio kawaida yangu.Najali afya kuliko wengi wanavyodhani.
 
Mkuu utaratibu wa kuchanja hio chanjo upoje na gharama zake zipoje.
 
Gharama ni ndogo hazifiki laki moja chanjo zote 3,na zinapatikana katika hospital zote kubwa Tanzania
 
Back
Top Bottom