Hatimaye tumechukua no moja

usijali hapa kati drama zilikuwa nyingi ila nitarejea

Haraka maana mmmmh.. kweli malavidavi yanachukua muda wa mtu

Sawa ni yule nyapu nini.. maana naona ametulia kwasasa amepiga kimya fulani.. eeeeh.. umentisha utamuacha kweli kweli.. 😁
 
Wajinga ndiyo waliwao, hiyo hela ya kumloga Asprin anipende ngoja nimnunulie Jack Daniel.
 
Hongera Tanzania,tumepiga hatua kwakweli,mambo yanaendana na kasi ya viwanda.
Hapa kazi tu
 
Kama Naijeria tumewazidi, basi takwimu hizo si sahihi. Hata hivyo hatuko nyuma aisee maana kama sio imani hizo DAB asingekuwa pale alipo hadi leo
 
Imagine kuna mtu anaamini mtoto wake akipoo ile poo ikifukiwa na udongo mtoto tumbo litauma basi hafukii. Yaani pathetic
 
Kama Naijeria tumewazidi, basi takwimu hizo si sahihi. Hata hivyo hatuko nyuma aisee maana kama sio imani hizo DAB asingekuwa pale alipo hadi leo
Wale kelele tu lakini wenyewe wanakiri kuwa limbwata la Mozambique πŸ‡²πŸ‡Ώ ni mwisho likifuatia na la Haiti na Benin πŸ‡§πŸ‡―
 
Hahahahahaha misukule kweli
 
Mtegemee Mungu, sisi wazazi tunawaombea sana watoto wetu wa kiume
 
Inawezekana kweli South Africa isiwemo!!?
Hawa jamaa itakuwa ni bracn ya Wale walosema umaarufu wa Jeipiem umeshuka sana!
Wanatumiwa
 
Wale kelele tu lakini wenyewe wanakiri kuwa limbwata la Mozambique πŸ‡²πŸ‡Ώ ni mwisho likifuatia na la Haiti na Benin πŸ‡§πŸ‡―
Anhaaaa sasa naanza kufumbua macho!!! Ndo maana huyu niliyenae sipindui wala sigeuzi nae ni wa nchumbiji daaah kuuumbeee
 
Anhaaaa sasa naanza kufumbua macho!!! Ndo maana huyu niliyenae sipindui wala sigeuzi nae ni wa nchumbiji daaah kuuumbeee
Kule mkuu ndoa hukabidhiwa kwa mti wa porini kabla haijafungwa. Unaambiwa wewe mti ulivyosimamz miaka 100+ na ndoa yangu isimane hivyo hivyo
 
Lakini mbona walishindwa kutambua alikopelekwa MO?
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…