Hatimaye tumechukua no moja

Ha ha haaaaaaa

Kuna kitu nilibaki mataa ni baada ya issue ya yule side chick wa D. Platnumz ya kutumia ya kuroga sijui kunini..

Nikasoma comments insta tena nilizidisha. Nikakuta wanawake wengi wameandika ni kawaida.. haikuwashtua.. wanayafanya kama kawa.. nili 🙆‍🙆‍🙆‍

Sikurudi kusoma kwa kushangaaa imekuwa part ya maishani mwa wengi bila aibu.

Lete habari basi.. siku hizi hutaki tuzidi kujijazia imani ya kumcha Mola na kujiamini au?
 
Kwa kweli hili nakubaliana nalo kabisa kuwa Tz wanaongoza.

Wengi unaewaona lazima wana chale awe mwanamke au mwanaume
Yaani wengine wanaingia kazini na chale mpya karibu na jicho ukimuuliza anajiumauma tu
Kweli ndumba haiishi duniani
 
Na wanaoongoza hapa kwetu ni wanawake/wadada, yaani wanaume tuna kazi sana tunagawanwa na hawa viumbe kama mpira wa kona, ukirudi home mwanamama anafanya yake, ukikaa mezani house girl anafanya yake,ukienda kwa mchepuko nae anakolezea kwake,yaani tupo tupo tu kama misukule
 
usijali hapa kati drama zilikuwa nyingi ila nitarejea
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…