PreGE2025 Hatimaye Thamani ya Ubunge yashuka Rasmi, hata wasiofaa wanautaka

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Baada ya Baba Levo kutangaza kuutaka Ubunge wa Kigoma Mjini, Maajabu yanazidi kuongezeka. Ikumbukwe Baba Levo aliwahi kufungwa jela kwa hisani ya ccm akiwa Diwani wa Upinzani, Rushwa husahaulisha shida.

Leo Diva Malinzi naye atangaza kuutaka Ubunge wa Tanga!

View attachment 3340526

Diva aliwahi kuutangazia Umma kwamba Mahari yake ni tsh Mil 500, lakini akaja kuolewa Bure na Tapeli Mpiga ramli, kabla ya kuachika baada ya kutelekezwa

Kesho Ukisikia Shilole anautaka Ubunge wa Ilala usishangae!
Salum Mwalimu aliwahi kuwa mgombea mwenza wa urais akiwa na tundu Lissu kupitia chadema! Ila nyumbu sijui mnawaonaje watanganyika!
 
Ni haki yao ya kikatiba hata wewe ukitaka kugombe unaruhusiwa, haya mambo yako ya kutaka kuminya haki za watu za kikatiba subiri Chadema ikiwa madarakani ndo muendelee kubagua watu kama ilivyo kawaida yenu
 
Baada ya Baba Levo kutangaza kuutaka Ubunge wa Kigoma Mjini, Maajabu yanazidi kuongezeka. Ikumbukwe Baba Levo aliwahi kufungwa jela kwa hisani ya ccm akiwa Diwani wa Upinzani, Rushwa husahaulisha shida.

Leo Diva Malinzi naye atangaza kuutaka Ubunge wa Tanga!

View attachment 3340526

Diva aliwahi kuutangazia Umma kwamba Mahari yake ni tsh Mil 500, lakini akaja kuolewa Bure na Tapeli Mpiga ramli, kabla ya kuachika baada ya kutelekezwa

Kesho Ukisikia Shilole anautaka Ubunge wa Ilala usishangae!
Acha wakapige mashine, bila shaka upigaji unaendelea na itawakuta hadi wajumbe huko.
 
Kwa kweli, huyu kichwani hamnazo kabisa ila sishangai kwani wabunge wengi wa kike ni chakula cha wenzao. Usikute wapo wabunge wanaomsubiri mjengoni huyu mtu na ndiyo wao wanaompa mchongo ili aende bungeni kupewa maradhi au akagawe kwa wenzake.
mpaka aende bungeni? mtaani hawampati?
 
Nchi hii kwani mtu anatangazwa ubunge baada ya kushinda au kama itakavyo Tume kwa maelekezo ya CCM?
SUBIRINI MUONE;
bunge la wabunge wafuatao 2025;
Babalevo, Shilole, Steve "nyerere", Msukuma, Kibajaji, Babu Tale and the like.
Hao ndio watunga sheria wenu wajao. Hivi nini watajua kuwa ni kizuri kwa nchi su kibaya?
Mnapoambiwa NO REFORM NO ELECTION na hamtaki kuelewa ndio hapo anapooenguliwa Mhadhiri mstaafu kuwa kashindwa kujaza form lakini Shilole kaweza na kapitishwa.
Sasa Baba levo an utofauti gan na Heche yule mpiga Kelele ??

Bab levo alikuaga huko upinzani na mkapenda makelele yake leo haha

Sikia mjomba Chadema ina uhaba mkubwa sana wa watu wanojua kutumia jukwaa kushawishi watu zaidi wamebaki watu wanaoweza kuropoka na kutukana matusi kila dk
 
Uhalisia ni upi? Nipe sababu kwa nini hawafai?
Katiba yetu ni outdated, ilitungwa nyakati ambazo mahitaj ya watu kwenye hizo nafasi ni kubwa. Kuwekwa kwa kigezo cha kujua kusoma na kuandika ni sababu jamii ilikuwa nao wachache, na hao ndio walionekana walau wataweza

Ila miaka imebadilika jamii imebadilika na mahitaji. Is why katiba lazima kubadilika wapatikane wabunge based on uwezo , na wualification mbali mbali.
Tz ndio nchi pekee africa nzima, ambayo wabunge wake wanachaguliwa kwa kigezo cha kusoma na kuandika

Nchi tulizozisaidia kupata uhuru, zimeshatoka huko na wametuacha mbali
 
Naunga mkono hoja

Ubunge umepungua Hadi yake Kwa Tanzania Kisa ikiwa Ni mbogamboga

Now Bunge linawakilishwa Na vihio maana kukaa bungeni ilimradi una weredi Wa kupiga makofi Kwa ccm
 
Baada ya Baba Levo kutangaza kuutaka Ubunge wa Kigoma Mjini, Maajabu yanazidi kuongezeka. Ikumbukwe Baba Levo aliwahi kufungwa jela kwa hisani ya ccm akiwa Diwani wa Upinzani, Rushwa husahaulisha shida.

Leo Diva Malinzi naye atangaza kuutaka Ubunge wa Tanga!

View attachment 3340526

Diva aliwahi kuutangazia Umma kwamba Mahari yake ni tsh Mil 500, lakini akaja kuolewa Bure na Tapeli Mpiga ramli, kabla ya kuachika baada ya kutelekezwa

Kesho Ukisikia Shilole anautaka Ubunge wa Ilala usishangae!
Akina mama mna vita nyingi sana
 
Sio Ubunge tu,hata mgombea urais kwa tiketi ya CCM hatoshi kua hata Diwani...
 
Baada ya Baba Levo kutangaza kuutaka Ubunge wa Kigoma Mjini, Maajabu yanazidi kuongezeka. Ikumbukwe Baba Levo aliwahi kufungwa jela kwa hisani ya ccm akiwa Diwani wa Upinzani, Rushwa husahaulisha shida.

Leo Diva Malinzi naye atangaza kuutaka Ubunge wa Tanga!

View attachment 3340526

Diva aliwahi kuutangazia Umma kwamba Mahari yake ni tsh Mil 500, lakini akaja kuolewa Bure na Tapeli Mpiga ramli, kabla ya kuachika baada ya kutelekezwa

Kesho Ukisikia Shilole anautaka Ubunge wa Ilala usishangae!
ubunge ni "kazi" ya wajinga wajinga
 
Hvi huyu huwa anafanya kazi gani? Ni nani kwanza?
 
Sasa kama unaenda kugonga meza pekee na mwisho wa siku unapokea 560,000 nje na mshahara 18,000,000, gari milioni 110, mkopo hazina bilion 1 na unalipa nusu pekee bado rushwa n.k hapo pension baada ya miaka 5 milioni 400, kuna mtumishi wa umma amesota miaka 40 pension milioni 50 pekee na hapo ana masters lakini mgonga meza hana hata cheti cha la saba.
 
Back
Top Bottom