Field Marshall 11
JF-Expert Member
- Nov 28, 2024
- 1,018
- 1,716
Bunge hilo la ovyo, hili la sasa hakuna aliyewachagua. Bunge lina akina Musukuma, Babu Tale, Sanga (Mmafia), Mwizi Tulia Ackson, Mwigulu Nchemba(Ph.d fake) na mafala wengine. Shame on them, hawafai na hatukuwachaguaBaada ya Baba Levo kutangaza kuutaka Ubunge wa Kigoma Mjini, Maajabu yanazidi kuongezeka. Ikumbukwe Baba Levo aliwahi kufungwa jela kwa hisani ya ccm akiwa Diwani wa Upinzani, Rushwa husahaulisha shida.
Leo Diva Malinzi naye atangaza kuutaka Ubunge wa Tanga!
View attachment 3340526
Diva aliwahi kuutangazia Umma kwamba Mahari yake ni tsh Mil 500, lakini akaja kuolewa Bure na Tapeli Mpiga ramli, kabla ya kuachika baada ya kutelekezwa
Kesho Ukisikia Shilole anautaka Ubunge wa Ilala usishangae!