Hatimaye tbc1 warusha habari za CHADEMA

Hatimaye tbc1 warusha habari za CHADEMA

papa anayevutia

Senior Member
Joined
Sep 5, 2012
Posts
153
Reaction score
52
Naam...ni Bahaati mbaya sana hapa Rwanda kwa wanaotumia Star times-channel za Tanzania inapatikana TBC1 tu!!!!.Hivyo huwa ninakosa habari kedekede zinazoonekana kuwa mlengo wa kushoto wa chombo hiki cha habari cha umma......AJABU: Jana saa moja ya hapa RWanda(sawa na saa mbili ya Tanzania)nikaisogelea Luninga yangu..mara muhtasari nasikia CHADEMA, CHADEMA,,,,Habari kamili..ndo wakafafanua kweli....Nikajiuliza..maswali mengi..Kulikoni jana TBC washabikie habari ile au walikuwa na maslahi nayo??au kwa kuwa ilihusu kile wanachodhani ndio mwisho wa CHADEMA_kwa wenye fikra finyu-(Yaani kusimamishwa kwa Zitto Kabwe na Mkumbo)... CHANZO: TBC Habari(22/11/2013)
 
Mkuu kwa sababu hii hapa

Ndiyo CCM yako inavyofanya

Subject: Fw: kazi nzuri
Date: Sunday, November 17, 2013 20:28
From: " Mwigulu Nchemba " <shimbi85@gmail.com> >
To: "Emmanuel Nchimbi" < nchimbie@yahoo.com >

On Sunday, November 17, 2013 6:15:44 PM, Mwigulu Nchemba <shimbi85@gmail.com> wrote:

sawa boss,,jumatano saa moja imekaa safi kabisa. tuchape kazi. ntakupa update nikitoka kuonana na zzk. mh. Lukuvi namtafuta punde

MN

2013/11/17 Emmanuel Nchimbi < nchimbie@yahoo.com >

bila shaka vijana wamefanya kazi nzuri sana. mapambano yanaendelea, hakuna kulala, hapa sasa tume lote livunjwe na huyo waryoba apumzishwe. mtafute mh. Lukuvi ana mazuri ya kuongea na wewe. kuna mapya pale ufipa, nimeshaongea na mh. zitto na amenipa brifieing .. tukutane jumatano basi jioni ya saa1 pale pale cheer,, Emma

Sent from my ipad

On Sunday, November 17, 2013 5:55:02 PM, Mwigulu Nchemba <shimbi85@gmail.com> wrote:

Naona vijana wametekeleza shuguli vizuri, na cham imewakilishwa vizuri sana. Msangi jembe, sasa tutaipata katiba tunayoitaka hicho kikwazo kikishaondolewa bila shuruti. Alafu upande wa pili (cdm) inabidi tuongeze dau ili shujaa zzk abakie ndani, nasikia kuna mkakati wa kumtoa kwenye kinyang'anyiro. tujitahidi sana sana kumsaidia kujenga mtandao wa ndani apate u wenyekiti. taarifa zaidi za ndani zinasema wkamba wanajaribu kumfukuza kabla ya mwisho wa mwaka, tuendeleze vita hilo lisitokee, naona kundi ndani ya bavicha hasa hiyo mitoto inafanya sana mashambulizi lakini hawataweza. inabidi wadhibitiwe. rockup wiki mbili itawasambaratisha. Tuongeze kasi kwa wajumbe wa kamati kuu. wengi wao ni njaa sana nazani 5mil kila moja inatosha kabisa.wananifata sana kuomba hela ili wasaidie nakutana na ZZK baadae plae pa siku ile, unaweza kufika saa 1 jioni

MN

Endeleeni ila mtaula wa chuya​

Tangu ccm wamemfukuza Tido Mhando kwa kuonyesha ukweli na uwazi hakuna tena anayeangalia TBCccm
 
kwa upande wangu sijui kama ipo hawajitambui kuwa wao ni chombo cha umma hivyo wanawajibu wa kuwaridhisha wote hata wapinza pia wanahaki kupata habari zao kupitia chanel ya umma !
 
Hiyo tbc wangejua ya kuwa watu hawaipendi" wala usingesema hayo. Tbc mimi toka amehama tido muhando namimi nimehama kwasababu huwezi ukawa unaangalia habari zenyemfumo wa mwaka alobaini nasaba
 
ITV SUPER BRAND huko haipo?
Tbc wanaonesha kitchen party
 
Mkuu kwa sababu hii hapa

Ndiyo CCM yako inavyofanya

Subject: Fw: kazi nzuri
Date: Sunday, November 17, 2013 20:28
From: " Mwigulu Nchemba " <shimbi85@gmail.com> >
To: “Emmanuel Nchimbi” < nchimbie@yahoo.com >

On Sunday, November 17, 2013 6:15:44 PM, Mwigulu Nchemba <shimbi85@gmail.com> wrote:

sawa boss,,jumatano saa moja imekaa safi kabisa. tuchape kazi. ntakupa update nikitoka kuonana na zzk. mh. Lukuvi namtafuta punde

MN

2013/11/17 Emmanuel Nchimbi < nchimbie@yahoo.com >

bila shaka vijana wamefanya kazi nzuri sana. mapambano yanaendelea, hakuna kulala, hapa sasa tume lote livunjwe na huyo waryoba apumzishwe. mtafute mh. Lukuvi ana mazuri ya kuongea na wewe. kuna mapya pale ufipa, nimeshaongea na mh. zitto na amenipa brifieing .. tukutane jumatano basi jioni ya saa1 pale pale cheer,, Emma

Sent from my ipad

On Sunday, November 17, 2013 5:55:02 PM, Mwigulu Nchemba <shimbi85@gmail.com> wrote:

Naona vijana wametekeleza shuguli vizuri, na cham imewakilishwa vizuri sana. Msangi jembe, sasa tutaipata katiba tunayoitaka hicho kikwazo kikishaondolewa bila shuruti. Alafu upande wa pili (cdm) inabidi tuongeze dau ili shujaa zzk abakie ndani, nasikia kuna mkakati wa kumtoa kwenye kinyang'anyiro. tujitahidi sana sana kumsaidia kujenga mtandao wa ndani apate u wenyekiti. taarifa zaidi za ndani zinasema wkamba wanajaribu kumfukuza kabla ya mwisho wa mwaka, tuendeleze vita hilo lisitokee, naona kundi ndani ya bavicha hasa hiyo mitoto inafanya sana mashambulizi lakini hawataweza. inabidi wadhibitiwe. rockup wiki mbili itawasambaratisha. Tuongeze kasi kwa wajumbe wa kamati kuu. wengi wao ni njaa sana nazani 5mil kila moja inatosha kabisa.wananifata sana kuomba hela ili wasaidie nakutana na ZZK baadae plae pa siku ile, unaweza kufika saa 1 jioni

MN

Endeleeni ila mtaula wa chuya​

Dili za kijinga.
Kweli ccm imeamua kuwatosa kbs watanzania !
 
Duh hii kali kweli
 
Tbc imebaki jina kwani hata wafanyakazi wake wote hakuna anaeweza kwenda kufanya. Kazi ktk tv station nyingine wote wamelewa rangi ya ccm
 
Naam...ni Bahaati mbaya sana hapa Rwanda kwa wanaotumia Star times-channel za Tanzania inapatikana TBC1 tu!!!!.Hivyo huwa ninakosa habari kedekede zinazoonekana kuwa mlengo wa kushoto wa chombo hiki cha habari cha umma......AJABU: Jana saa moja ya hapa RWanda(sawa na saa mbili ya Tanzania)nikaisogelea Luninga yangu..mara muhtasari nasikia CHADEMA, CHADEMA,,,,Habari kamili..ndo wakafafanua kweli....Nikajiuliza..maswali mengi..Kulikoni jana TBC washabikie habari ile au walikuwa na maslahi nayo??au kwa kuwa ilihusu kile wanachodhani ndio mwisho wa CHADEMA_kwa wenye fikra finyu-(Yaani kusimamishwa kwa Zitto Kabwe na Mkumbo)... CHANZO: TBC Habari(22/11/2013)

only negatives not postives
 
Ndipo utakapoona kwa viongozi wetu mapungu... kiasi gani, kila siku wanaomba vyama vya siasa viindelee kudumaa,visistawi ili waendelee kuwaburuza watazania. Kinachouma zaidi ni kutumia rasilimali za watanzania.
 
Naam...ni Bahaati mbaya sana hapa Rwanda kwa wanaotumia Star times-channel za Tanzania inapatikana TBC1 tu!!!!.Hivyo huwa ninakosa habari kedekede zinazoonekana kuwa mlengo wa kushoto wa chombo hiki cha habari cha umma......AJABU: Jana saa moja ya hapa RWanda(sawa na saa mbili ya Tanzania)nikaisogelea Luninga yangu..mara muhtasari nasikia CHADEMA, CHADEMA,,,,Habari kamili..ndo wakafafanua kweli....Nikajiuliza..maswali mengi..Kulikoni jana TBC washabikie habari ile au walikuwa na maslahi nayo??au kwa kuwa ilihusu kile wanachodhani ndio mwisho wa CHADEMA_kwa wenye fikra finyu-(Yaani kusimamishwa kwa Zitto Kabwe na Mkumbo)... CHANZO: TBC Habari(22/11/2013)

We mnafiki mbona huwa wanarushaaaaa
 
Mkuu kwa sababu hii hapa

Ndiyo CCM yako inavyofanya

Subject: Fw: kazi nzuri
Date: Sunday, November 17, 2013 20:28
From: " utani ujinga " <ujingaemail@gmail.com> >
To: “uwongo email” < udakuemail@yahoo.com >

On Sunday, November 17, 2013 6:15:44 PM, wajinga waliwao <copypaste@gmail.com> wrote:

sawa boss,,jumatano saa moja imekaa safi kabisa. tuchape kazi. ntakupa update nikitoka kuonana na mbw mh. Aals namtafuta punde

Fake email

2013/11/17 uongo ujinga< ujinga@yahoo.com >

bila shaka vijana wamefanya kazi nzuri sana. mapambano yanaendelea, hakuna kulala, hapa sasa tume lote livunjwe na huyo waryoba apumzishwe. mtafute mh. Aals ana mazuri ya kuongea na wewe. kuna mapya pale ufipa, nimeshaongea na mh. Mkweli na amenipa brifieing .. tukutane jumatano basi jioni ya saa1 pale pale cheer,, aals

Sent from my ipad

On Sunday, November 17, 2013 5:55:02 PM, emailcopy <ujinga@gmail.com> wrote:

Naona vijana wametekeleza shuguli vizuri, na cham imewakilishwa vizuri sana. Msangi jembe, sasa tutaipata katiba tunayoitaka hicho kikwazo kikishaondolewa bila shuruti. Alafu upande wa pili (cdm) inabidi tuongeze dau ili shujaa ukweli abakie ndani, nasikia kuna mkakati wa kumtoa kwenye kinyang'anyiro. tujitahidi sana sana kumsaidia kujenga mtandao wa ndani apate u wenyekiti. taarifa zaidi za ndani zinasema wkamba wanajaribu kumfukuza kabla ya mwisho wa mwaka, tuendeleze vita hilo lisitokee, naona kundi ndani ya bavicha hasa hiyo mitoto inafanya sana mashambulizi lakini hawataweza. inabidi wadhibitiwe. rockup wiki mbili itawasambaratisha. Tuongeze kasi kwa wajumbe wa kamati kuu. wengi wao ni njaa sana nazani 5mil kila moja inatosha kabisa.wananifata sana kuomba hela ili wasaidie nakutana na ZZK baadae plae pa siku ile, unaweza kufika saa 1 jioni

Fake

Endeleeni ila mtaula wa chuya

Hii ndio email ndio ushahidi wenu mnafanya watu wehu wajinga . Tajeni sababu sio kuleta email za uongo hapa sasa na hio ni ya kweli japo juu
 
mkuu hii siyo TBC tena,.

Sasa inaitwa Magamba Broadcasting Corporation (MBC)
 
Iyo ilikuwa ni lazima watangaze ila ikizama mv spice wanapiga taarabu .
 
Back
Top Bottom