Naam...ni Bahaati mbaya sana hapa Rwanda kwa wanaotumia Star times-channel za Tanzania inapatikana TBC1 tu!!!!.Hivyo huwa ninakosa habari kedekede zinazoonekana kuwa mlengo wa kushoto wa chombo hiki cha habari cha umma......AJABU: Jana saa moja ya hapa RWanda(sawa na saa mbili ya Tanzania)nikaisogelea Luninga yangu..mara muhtasari nasikia CHADEMA, CHADEMA,,,,Habari kamili..ndo wakafafanua kweli....Nikajiuliza..maswali mengi..Kulikoni jana TBC washabikie habari ile au walikuwa na maslahi nayo??au kwa kuwa ilihusu kile wanachodhani ndio mwisho wa CHADEMA_kwa wenye fikra finyu-(Yaani kusimamishwa kwa Zitto Kabwe na Mkumbo)... CHANZO: TBC Habari(22/11/2013)
TBC ni tawi dogo la ccm na ndio tawi linalotoa wakuu wa wilaya wengi