Hatimaye Simba yapiga treble ya kukosa makombe

Hatimaye Simba yapiga treble ya kukosa makombe

MwananchiOG

JF-Expert Member
Joined
Apr 4, 2023
Posts
2,507
Reaction score
4,933
Msimamo wa makombe msimu huu kwa kilabu ya 5imba mpaka sasa

Ngao ya jamii ❌
Cafcc ❌
Muungano ❌
CRDB cc ❌
NBC Premier League ❌

IMG_20250625_211722.jpg
 
Kwa maana nyingine hawajaambulia kitu😀😀😀
 
hawaji mkuu mpaka dirisha kubwa la usajili lifunguliwe,ktk kipindi cha usajili simba huonekana kama ndiye real madrid wakati msimu ukiisha mangungu hugeuka kuwa mbuzi wa kafara.
Hahahahaha,kipindi cha usajiri wanatwaa makombe yote hayo
 
Simba sio team ya Mpira wa miguu

Ni kikundi Cha wahuni
 
Back
Top Bottom