Hatimaye sehemu ya Hoteli ya Snow Crest yabomolewa

Hatimaye sehemu ya Hoteli ya Snow Crest yabomolewa

Eneo lote lililoingia kwenye hifadhi ya barabara limevunjwa na ujenzi wa barabara unaendelea.

Ikumbukwe kuwa miaka takribani kumi Mh Magufuli aliitaka hoteli hii kuvunja sehemu ya hoteli hiyo kwani ilikuwa kwenye hifadhi ya barabara lakini kulitokea ubishi na mapingamizi.

Supply visual and a little more details plz?!
 
Akitekcha kwa mtazamo wangu alikosea sana kwenye madirisha ya hoteli
 
Mmiliki atakuwa Ukawa ndio maana.Mbona za makada wao zipo katikati ya hifadhi?
Double standard.

Wala sio ya mwana UKAWA. Hotel hii ilipigiwa sana kelele mara baada tu ya raisi Kikwete kuifungua kwa mbwembwe zote. Watu tulisema wee tukaambiwa tuna wivu wa kike. Leo yanawakuta sasa...barabara inapitia mapokezi sasa kudadeki!
 
Supply visual and a little more details plz?!
Mbona Tayari kuna attachments za picha humu au unataka kuona grader linavyofanya kazi
 
Sema hii hotel mda wote naona kwao ni low season tu,hakunaga wageni na wala hapaja changamka....kavunjiwa lile eneo ambalo aliweka garden(kikwete alizindua kesho yake fensi ikavunjwa)
 
Eneo lote lililoingia kwenye hifadhi ya barabara limevunjwa na ujenzi wa barabara unaendelea.

Ikumbukwe kuwa miaka takribani kumi Mh Magufuli aliitaka hoteli hii kuvunja sehemu ya hoteli hiyo kwani ilikuwa kwenye hifadhi ya barabara lakini kulitokea ubishi na mapingamizi.
hebu tuwekee picha basi wewe jinga lao
 
Sema hii hotel mda wote naona kwao ni low season tu,hakunaga wageni na wala hapaja changamka....kavunjiwa lile eneo ambalo aliweka garden(kikwete alizindua kesho yake fensi ikavunjwa)
Aisee wazee wa system a. k. a TISS hawakufanya kazi yao kwa weledi nini??
 
Kwa mwenye picha zaidi atuwekee
Pumba kabisa wewe, yaani unatuwekea habari ya kusikia kwa jirani? Inakuwaje uombe wengine wakuwekee picha wakati wewe ndo umeleta hii habari hapa jamvini? Ndo maana wewe ni "jingalao"
 
Pumba kabisa wewe, yaani unatuwekea habari ya kusikia kwa jirani? Inakuwaje uombe wengine wakuwekee picha wakati wewe ndo umeleta hii habari hapa jamvini? Ndo maana wewe ni "jingalao"
Wewe ulizaliwa na Apgar score ya 5 yaani ni mzigo kwafamilia yako na jamii kwa ujumla....siku nyingine kabla ya kupayuka isome thread yote vizuri na kwa umakini.
 
Nafikiri ipo arusha sanawari karibu kabisa na kona ya kushuka kuelekea jengo la mikutano la aicc au mount meru hospital

Aisee......umekuja Arusha siku nyingi eeeeh....:mji umestrech ipo Ngulelo sasa......force of gravity perpendicularly.........
 
Kama iliingia ktk hifadhi ya barabara kwanini isivunjwe au mnaona bora kukosa barabara ili tu kuinusuru hiyo hotel??????
 
Deusdedith Kakoko ndie alikua meneja Tanroads Arusha. Nadhani hadi leo. Aliwazuia kujenga ukuta eneo la barabara wao wakajenga. JK alipoizindua tu, kesho yake alfajiri saa 10 Deo akavamia hapo na magreda yake. Baada ya hapo aliwaruhusu fensi fupi ya maua tu. Deo wala hakuhamishwa!!

Snow Crest haina miaka 10 mkuu. Nadhani ni ya 2008 hivi. Kinachobomolewa kwa sasa ni hiyo fensi ya maua na sehemu inayoingia barabarani. Niko mbali ningewaletea picha.

Kwanza nadhani inakaribia kufungwa (kama haijafungwa) maana madeni mengi, biashara haipati na sasa wanaenda kuivuruga show yake ya mbele. Mbaya sana kutegemea wanasiasa katika biashara.

Hivi ile kesi ya umiliki wa hii Hotel imeisha?
 
img-20160123-wa0014-jpg.318744
 
Back
Top Bottom