Hatimaye sehemu ya Hoteli ya Snow Crest yabomolewa

Mmiliki atakuwa Ukawa ndio maana.Mbona za makada wao zipo katikati ya hifadhi?
Double standard.
 
Hii hoteli ina matatizo siku nyingi sana.
JPM alishataka kuivunja tangu ikiwa mpya.
Je alivyoipiga ponchi mara tu baada ya kuzinduliwa na JK ilikuwa ni kwa sababu ya Ukawa? Mbona sababu zake ziko wazi? Jamaa alifanya ujanja ujanja kujenga pale.
Shirikisha ubongo wako badala ya kulialia bila sababu.
 
Ipo jijini Arusha.

Kwa wanaokumbuka hoteli hii ilitakiwa kuvunjwa few weeks baada ya kuzinduliwa na JK...kipindi hilo JPM alikuwa ni waziri wa Ujenzi.

Na mhusika wa kutaka kuivunja kipindi kile nadhani alihamishiwa mkoa mwingine

Deusdedith Kakoko ndie alikua meneja Tanroads Arusha. Nadhani hadi leo. Aliwazuia kujenga ukuta eneo la barabara wao wakajenga. JK alipoizindua tu, kesho yake alfajiri saa 10 Deo akavamia hapo na magreda yake. Baada ya hapo aliwaruhusu fensi fupi ya maua tu. Deo wala hakuhamishwa!!

Snow Crest haina miaka 10 mkuu. Nadhani ni ya 2008 hivi. Kinachobomolewa kwa sasa ni hiyo fensi ya maua na sehemu inayoingia barabarani. Niko mbali ningewaletea picha.

Kwanza nadhani inakaribia kufungwa (kama haijafungwa) maana madeni mengi, biashara haipati na sasa wanaenda kuivuruga show yake ya mbele. Mbaya sana kutegemea wanasiasa katika biashara.
 
IPO sekei

Ipo ngulelo

Ipo kabla yakufika ngulelo

Iposanawari

Ipoarusha sio sanawari
 
Jingalao tunaomba utuwekee picha
KIBARAone na chipolopolo 2 picha za hotel hizi hapa
Screenshot_2016-01-23-15-39-18-1.png
 
Mmiliki atakuwa Ukawa ndio maana.Mbona za makada wao zipo katikati ya hifadhi?
Double standard.
Mmliki ni Tarimo jamaa ni mjanja kuliko ujanja wenyewe ulivyo.....Nani anajua ile kesi yake ya madai na Ndika iliishia wapi?
Jamaa anafaa kuwa role model kwa mtu yeyote anaetaka kuwa fogo.
 
img-20160123-wa0014-jpg.318744

Uki check out unatakiwa kuwa makini sana na mabegi yako unaweza kugongwa na magari mainroad hakutakuwa na parking wala sehemu ya bustani.
 
Hivi room ni tshs. Ngapi wakuu?, nataka next time nikienda arusha nifikie hapo
 
Deusdedith Kakoko ndie alikua meneja Tanroads Arusha. Nadhani hadi leo. Aliwazuia kujenga ukuta eneo la barabara wao wakajenga. JK alipoizindua tu, kesho yake alfajiri saa 10 Deo akavamia hapo na magreda yake. Baada ya hapo aliwaruhusu fensi fupi ya maua tu. Deo wala hakuhamishwa!!

Snow Crest haina miaka 10 mkuu. Nadhani ni ya 2008 hivi. Kinachobomolewa kwa sasa ni hiyo fensi ya maua na sehemu inayoingia barabarani. Niko mbali ningewaletea picha.

Kwanza nadhani inakaribia kufungwa (kama haijafungwa) maana madeni mengi, biashara haipati na sasa wanaenda kuivuruga show yake ya mbele. Mbaya sana kutegemea wanasiasa katika biashara.
Hapo kwenye blue nakazia tu... NI MBAYA SANA KUTEGEMEA WANASIASA KATIKA BIASHARA...
 
Mmliki ni Tarimo jamaa ni mjanja kuliko ujanja wenyewe ulivyo.....Nani anajua ile kesi yake ya madai na Ndika iliishia wapi?
Jamaa anafaa kuwa role model kwa mtu yeyote anaetaka kuwa fogo.
Mkuu ni Tarimo yupi?? Yule wa Njiro PPF au
 
img-20160123-wa0014-jpg.318744

Uki check out unatakiwa kuwa makini sana na mabegi yako unaweza kugongwa na magari mainroad hakutakuwa na parking wala sehemu ya bustani.
Duuuh humu jf wamejaa watu wa tiss na magenious
 
Duuh!, december 2015 nilikuwa hapo takribani two weeks. Hotel ilifunguliwa na Hon. Rais Jakaya Kikwete. Magufuri kweli kiboko ya mapapa!!!
 
Back
Top Bottom