Hatimaye sehemu ya Hoteli ya Snow Crest yabomolewa

Hatimaye sehemu ya Hoteli ya Snow Crest yabomolewa

Pesambili alimkamatisha mtu flani hii hotel, sasa inakula kwake.
 
1453587518768.jpg
1453587547173.jpg
1453587573142.jpg
1453587618902.jpg
Alafu imekua hivi?
1453587414096.jpg
 
je pale Ubungo makao makuu ya TANESCO nayo ikoje kuna kipindi alitaka kuvunja hapo zamani
 
Weusi hampendani..watu wanafurahia utadhan wao wataenda kujenga hotel nyngne...
 
Back
Top Bottom