Patrick Elias
JF-Expert Member
- Jan 27, 2011
- 332
- 108
Hahahahaha! Ndo maana tunaitwa waulimwengu wa tatu, jamani wao jamaa walishatugawana afu na sisi tunashangilia! Yaani Russia anapotandika wale former USSR wenzake US haingilii zaidi ya kukoromakoroma kuzuga ulimwengu kutimiza role yake ya ukiranja mkuu, pia US akiwa anatandika waarabu Russia haingilii bali hufumba macho kabisaa kama haoni, tofauti yao yeye russia hukaa kimya make hana jukumu lolote kubwa la ulimwengu na hawezi kulaumiwa kwa lolote