Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 20,014
- 41,358
Ka picha japo ka hata ka kuibia ibia tuione gariiiiiNdugu wajomba leo ndio nimefika mwanza saa 1 asubuhi bila yowe lolote kwenye gari wala changamoto yoyote njiani sijapata.
Ila changamoto ni Mataa ya semi na mafuso usiku kidogo nihame njia, natamani kufunga zile taa zenye mwanga mkaliiii mweupe ili nikiwa narudi nisiteseke njiani.
Asanteni sana wakuu
Mimi na haka ka babe walker tumefika salama
Mwanza ni nyumbaniAsante ndugu msafiri wa taifa.
TAHADHARI:Usibugie samaki kwa wingi sana.Utavimbiwa.
Kila kitu kipo sawa ila baadhi ya vitu nitafanya repairZingatiaaa service ya gari mkuuu utajutiaa
niko mwanza.HONGERA SANA MKUU UMEJITAHIDI SANA
Ukitudi mkuu usisahau kunichukulia wale dagaa wanaokaangwa moja kwa moja 0710701361
Niko serious mkuu
Taa kama radi, kuna washenzi wa Allys walinip8ga taa hadi nikahisi kuchanganyikiwaHaujakutana na mabus aisee unaweza kupaki gari wale jamaa wanapiga full kama uwanja wa taifaView attachment 3416177
Upo sehemu gani mkuuniko mwanza.
ukitaka na Samaki pia usisite kusema japo samaki ni wa shida sanaView attachment 3416593
Sio kwamba ndio nitayatumia hapana ni wale majeuri nawawashia dudeUnalalamika mataa makali halafu unataka uyaweke na wewe , akili ya maharage
Machinjioni mkuuUpo sehemu gani mkuu
Ah okay sawa nikiwa na shida nitakuja hapo, mimi nipo nyamhongolo njoo PM unipe nambaMachinjioni mkuu
Hongera sana Mkuu, hapo ni mahali maalum kwa wenye maono.Hahahaa ayseee jana nilikuwa Tunza beach chimbo langu la muda wote ni hapo...
Hahahaha 🤣🤣🤣🤣🤣🤣Taa kama radi, kuna washenzi wa Allys walinip8ga taa hadi nikahisi kuchanganyikiwa
Acha kuongeza tatizoNifunge au niache???