Youbettersleep
JF-Expert Member
- May 3, 2019
- 957
- 1,655
NakaziaSafi sana mkuu. Sema umetubania baadhi ya vitu:
1. Mafuta.
2. Wastani wa speed.
3. Vituo vingapi.
Zingatiaaa service ya gari mkuuu utajutiaaNdugu wajomba leo ndio nimefika mwanza saa 1 asubuhi bila yowe lolote kwenye gari wala changamoto yoyote njiani sijapata.
Ila changamoto ni Mataa ya semi na mafuso usiku kidogo nihame njia, natamani kufunga zile taa zenye mwanga mkaliiii mweupe ili nikiwa narudi nisiteseke njiani.
Asanteni sana wakuu
Mimi na haka ka babe walker tumefika salama
Haujakutana na mabus aisee unaweza kupaki gari wale jamaa wanapiga full kama uwanja wa taifaWasiwasi ndio akili.. Kafunge hizo taa
Usithubutu hiyo kitu.natamani kufunga zile taa zenye mwanga mkaliiii mweupe ili nikiwa narudi nisiteseke njiani.
Kweli kabisa, asithubutuUsithubutu kuweka hizo taa kali, pindi utakapoziwasha wakati unapishana na semi ukidhani nae amekiwashia taa kali, atakapoamua kukuwashia sasa taa zake kali utajikuta korongoni au uvunguni mwa kichanja
Hii sawa kabisaHaujakutana na mabus aisee unaweza kupaki gari wale jamaa wanapiga full kama uwanja wa taifaView attachment 3416177
Dah hii kitu ilifanya niache kabisa safari za usiku. Madereva ma bus wakikupiga hiyo mbele huoni kitu. Ila pongezi za dhati kabisa ziende kwa madereva ma lorry hao jamaa wakikuona tu unakuja wanapunguza taa vizuri tu ila kama utakomaa na mitaa yako watakumulika kiasi kwamba watahakikisha wanaona mpaka ndani mpo wangapiHaujakutana na mabus aisee unaweza kupaki gari wale jamaa wanapiga full kama uwanja wa taifaView attachment 3416177