Hatimaye RADIO E-FM waanza kurusha TV station yao

Hatimaye RADIO E-FM waanza kurusha TV station yao

Eddy Love

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2011
Posts
13,655
Reaction score
8,590
Kama walivyoahidi ifikapo mwezi wa 10 watakuja na Television yao pendwa ambayo tayari imekwishaanza kurushwa hewani kupitia ving'amuzi mbali mbali inajulikana kwa jina la TV-E so tutegemee ushindani mkubwa na CLOUDS FM

Source: Mie mwenyewe
 
Kwani Star Tv na TBC si zinawatosha?! Acheni habari zenu bhana; nyanya Kariakoo zishapanda bei kwa hayo mambo yenu kupenda kuangalia TV za mjini badala ya tv zinazohamasisha kilimo bora! Tunawategemea mjue; ohoo!
Ha ha mkuu umeanza ukorofi na wa mkoani
 
Back
Top Bottom