POMPO
JF-Expert Member
- Mar 12, 2011
- 6,690
- 2,400
Wakuu! Baada ya kushutumiwa kwa muda mrefu na baadhi ya watoto wa Mwl. Nyerere kuwa toka awe PM. Hajawafi kufika butiama kijijini kwa mwalimu kwenda kumsalimu mama Maria Nyerere na kudhuru kaburi la Mwalimu. Hatimae jana amefika, kumuona mama nyerere na kudhuru kaburi.. Nawasilisha.