nimeiona hii kule bbcswahili kuwa serikali sasa imetoa baraka kwa sumatra kufanya ukaguzi wa vyombo vya usafiri kule zanzibar na tayari meli tatu zimekwisha simamishwa kutokana na kutokuwa na sifa,
maoni: Baada ya roho nyingi kuteketea ndo wametoka usingizini, inasikitisha mno.
Huu ni wendawazimu kwani hizo Meli zilikua haziji Tanzania Bara...? Ina maana SUMATRA walikua hawana uwezo wa kuzikagua hapo awali sababu zilikua zinabeba Raia wa Bara na Visiwani na Pia zina tumia Bandari yetu ya Daslam.
MBONA
SIIELEWI HIYO MIJITU
Huu ni wendawazimu kwani hizo Meli zilikua haziji Tanzania Bara...? Ina maana SUMATRA walikua hawana uwezo wa kuzikagua hapo awali sababu zilikua zinabeba Raia wa Bara na Visiwani na Pia zina tumia Bandari yetu ya Daslam.
MBONA
SIIELEWI HIYO MIJITU
Wewe nawe! Meli huwa inasajiliwa mara mbili? Tanzania Bara waliikataa kuisajili Zanzibar wakaona Wanaonewa wakaisajili kuwaleta Wazanzibar Bara na Kuwarudisha na Watanzania Wachache ambao hawakujua Mambo ya Usajili ilimradi wameona Meli wao wanapanda..
Serikali ya Zanzibar imekiri kuwa Iliisajili baada ya Kukataliwa na Sumatra Bara.
Hapana, Serkal ya zenj ilikuwa imepga MARUFUKU SUMTRA Kuwa na mandate mpaka Kule, Walsema hawawatambui kama Non unioun matter
Hapo sasa nimepata Mwanga na kama jamaa wamekiri hivyo siyo mbaya na hiyo haimaanishi kama SUMATRA ni wasafi kihivyo.
tatizo ukigusa kitu walicho pitisha wao wanasema tunawabana.Huu ni wendawazimu kwani hizo Meli zilikua haziji Tanzania Bara...? Ina maana SUMATRA walikua hawana uwezo wa kuzikagua hapo awali sababu zilikua zinabeba Raia wa Bara na Visiwani na Pia zina tumia Bandari yetu ya Daslam.
MBONA
SIIELEWI HIYO MIJITU
tatizo ukigusa kitu walicho pitisha wao wanasema tunawabana.
hii nimeipendaTumbili hajui faida ya mkia mpaka ukatike.