Fatma Bawazir
JF-Expert Member
- Dec 24, 2010
- 492
- 180
pd proxy imerudi uwanjani kwa port ileile cha kufanya wakati wa ku connect unaisubiria kama baada sekunde kumi na imerudi kwa speed kubwa sana kweli walikuwa wa upgrade 3g yao

tunnel guru vipi wadau.? maana nipo ICU this time.
PORT sio ile ile dada kuna port mpya hapo haujashtukia tena fanya kuifnya iwe default
Lkn unazidi kuwavimbisha watu vichwa maana watu wamepost hizi port kila mahala tena bora ungeendeleea kula kimya kimya maana hii port mpya wanaifix sio mda mrefu maana ya awali imekula cha meno tayari
tatizo watu waropokaji, hii vda wataipiga pini si muda, hapa nafanya research ya port zingine!