Niko hapa my dear, alwayz you deserve special love from nitonye
zubedayo_mchuzi ukiona wa nini wenzako wanasema watakipata lini
kaka nitonye hongera sanaa,mwenye kaka hakosi wifi mambo si ndo hayo.....
Kongosho nadhani ameshakusikiaasante sana Heaven on earth kwa ukaribisho...
mi na wife wangu shansarie tutakuwepo hiyo siku...
mwalike na Kongosho pia...
shoping ya harusi inakuhusu, viatu. gauni,hereni, mkufu, bila kusahau walet.wow..tutakuwepo bila kukosa
Hongereni maharusi
kwen fast jet na mie nimo,,,ntakatisha likizo yangu kwa ajili ya tukio hili
lazima tutie timu shosti nimeshatoa maagizo kwa hubby kaizer ya viwalo vya sherehe.my wii Lady doctor na mumeo Arushaone ndoa hii si ya kukosa
kiwatengu and shansarie mnakaribishwa
Chocs and Erickb52 welcome
mimisa na mwananthropolojia karibuni sana sijui husband amepatikana
Kaizer na DEMBA uwepo wenu ni wa maana sana
ukaribisho bado unaendelea,sasa wenye vidum na viguduria muviwache huko huko
ahsante my sis kwa support yako andaeni mapokezi kwa ajili ya wifi yenu
Kaizer viwalo vya sherehe mwanamke shurti apigwe sop sop na hubbylazima tutie timu shosti nimeshatoa maagizo kwa hubby kaizer ya viwalo vya sherehe.
wow..tutakuwepo bila kukosa
Hongereni maharusi
kwen fast jet na mie nimo,,,ntakatisha likizo yangu kwa ajili ya tukio hili