msukule mzembe
JF-Expert Member
- Apr 28, 2022
- 296
- 375
Halafu wewe!Ndo uanaume huo, sema tu ni kosa la kusingiziwa
au sio mzee fazakweli wewe msukule mzembe, pole sana
we jela kusikie tuuu[emoji24][emoji24][emoji24]Ndo uanaume huo, sema tu ni kosa la kusingiziwa
Maoni yako nimeyaona, umefikir kwa ukomo wako. HongeraNyuzi zako [emoji119] Ni kama mnatumia account moja, watu zaidi ya wawili au watatu na zaidi
acha tuuuuKakusingizia wizi? Pole sana ola watanzania wote tumeangalia mlango wa Jela
asa mimi niibe ili iwejeWezi wa ng'ombe nawa hate sana, nawiwa kukupa pole kwani haijatokea kirahisi mtuhumiwa kukubali kosa.
Ndo uanaume huo, sema tu ni kosa la kusingiziwa
Bila shaka unahisi yule jamaa mwenye a/c mwishoni inaishia na village?Nyuzi zako [emoji119] Ni kama mnatumia account moja, watu zaidi ya wawili au watatu na zaidi