Miss Neddy
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 14,684
- 8,760
Mmh hebu muulize dady ako make ni mswati
mi nawajua 8 tu
Hahahahaha uwiiiiiiii nafunga breki hapa hapa
Mmh hebu muulize dady ako make ni mswati
mi nawajua 8 tu
hehehe, tuko pamoja mwaya lol (sorry kicheko kimeponyoka). hadi tumemaliza arubaini na sitini, lazma tupate kavitz kakujipoozea, tulia mama.:smile-big:
akileta mahindi ya kande aje na mtungi wa gesi, jiko la plate 4 lenye oven, siagi, karoti na hoho. Asisahau coca cola ya kushushia ama majani ya chai na sukari.
cc Mwita Maranya.
Wadau wote wa MMU asalam aleikum... bwana Yesu asifiwe... Amang'ana ghenyu...habari zenyu...mwangaluka kinehe lolo...wagambaki waitu...mpola zani...habari zenyu bwanshee...saita...ndaga fijo naloli na fuso...
Napenda kutumia fursa hii kuelezea furaha yangu kwamba baada ya kimya cha muda mrefu sasa nimerudi tena Jukwaani katika mtaa huu maarufu sana hapa bongo.. wa JF.
Nimewakumbuka sana wadau wote tuliokuwa tukishirikiana hapa jukwaani katika kusukuma mbele gurudumu la maendeleo yetu binafsi.
Nimetumwa salamu kwa wote lakini naomba hawa wachache wawakilishe wengi;
Filipo Asprin (michepuko sio dili mzee mwenzangu) charminglady Mtambuzi(baba ngina dawa ya deni ni kulipa) WiseLady miss strong (nakuwowa mke wa pili hivi karibuni) Excel (tata mbuyaole) Baba V (heshima yako mwenye kigoda au mapinduziiii yamekupitia?) Arushaone (shee..mswati upo?) KOKUTONA (ije nkubwile) Dark City (heshima yako babu yao) Madame B (miss you mbaya binamu)@mamndenyi (nakuweka kiporo) watu8 mwekundu (tatu ndio habari ya mujini) mayenga Ben Mugashe ladyfurahia platozoom gfsonwin cacico Cantalisia Kaizer Bujibuji (...) Elizabeth Dominic Nivea King'asti (mtoto wa mzee mtambuzi nasikia umepata mchumba mkurya) Dena Amsi Sabayi marejesho (shemejiiiiii) PakaJimmy LiverpoolFC Evelyn Salt (...)
Karibuni woooote muonje DAY SPECIAL YA LEO - "KICHURI":grouphug::grouphug::grouphug::welcome::welcome::welcome:

aisee vyovyote iwavyo ni muhimu nimfaham mzazi.. Arushaone..... Lady doctor mmh...sijui
...No way!!
Shikamoo Baba...Wadau wote wa MMU asalam aleikum... bwana Yesu asifiwe... Amang'ana ghenyu...habari zenyu...mwangaluka kinehe lolo...wagambaki waitu...mpola zani...habari zenyu bwanshee...saita...ndaga fijo naloli na fuso...
Napenda kutumia fursa hii kuelezea furaha yangu kwamba baada ya kimya cha muda mrefu sasa nimerudi tena Jukwaani katika mtaa huu maarufu sana hapa bongo.. wa JF.
Nimewakumbuka sana wadau wote tuliokuwa tukishirikiana hapa jukwaani katika kusukuma mbele gurudumu la maendeleo yetu binafsi.
Nimetumwa salamu kwa wote lakini naomba hawa wachache wawakilishe wengi;
Filipo Asprin (michepuko sio dili mzee mwenzangu) charminglady Mtambuzi(baba ngina dawa ya deni ni kulipa) WiseLady miss strong (nakuwowa mke wa pili hivi karibuni) Excel (tata mbuyaole) Baba V (heshima yako mwenye kigoda au mapinduziiii yamekupitia?) Arushaone (shee..mswati upo?) KOKUTONA (ije nkubwile) Dark City (heshima yako babu yao) Madame B (miss you mbaya binamu)@mamndenyi (nakuweka kiporo) watu8 mwekundu (tatu ndio habari ya mujini) mayenga Ben Mugashe ladyfurahia platozoom gfsonwin cacico Cantalisia Kaizer Bujibuji (...) Elizabeth Dominic Nivea King'asti (mtoto wa mzee mtambuzi nasikia umepata mchumba mkurya) Dena Amsi Sabayi marejesho (shemejiiiiii) PakaJimmy LiverpoolFC Evelyn Salt (...)
Karibuni woooote muonje DAY SPECIAL YA LEO - "KICHURI":grouphug::grouphug::grouphug::welcome::welcome::welcome:
Halafu wewe nakutazama tu.Hata sikuelewiKaribu sana familia ya Mwita Maranya.
Naona wewe na mkeo mwaJ na mwanenu Zion Daughter mliyeyuka ghafla na kile kivulana kinacho muharibu mwanao huku kikijidai ni kivulana cha kazi nacho sikioni siku hizi.