Hatimaye nimerudi tena... Baba Zion Daughter is back on stage...

Hatimaye nimerudi tena... Baba Zion Daughter is back on stage...

wamaanisha baba wa duniani sina ila wa mbinguni tu?
mwallu
baba yako yuko Mbinguni nawe wamjua maana anakuongoza kila siku
usipotee katika giza la.mauti
 
Last edited by a moderator:
Karibu tena mtani, nataka nije nikutembelee nile KICHURI Mwita Maranya
 
Last edited by a moderator:
Karibu sana kwa wakti mwingine.
Ila kuna mabadiliko makubwa, kuna member (wapyawapya?)wanavurumisha karibia thread tano kwa siku.
Unamfahamu Gilesi ?
 
Last edited by a moderator:
Karibu tena kijiwei mkuu, naona ulipotea kama mizizi ya mawe...
 
uwe unaaga basi baba?

yaani mie mchumba mkurya hata akinisalimia staki na staki anizoee. niko na mchumba wangu paw manake najua michepuko na michipuko sio dili aisee. you were missed.

(umbea: kwani uliendaga wapi? mwenzio Mamndenyi alifiwa, umpe rambirambi)
Wadau wote wa MMU asalam aleikum... bwana Yesu asifiwe... Amang'ana ghenyu...habari zenyu...mwangaluka kinehe lolo...wagambaki waitu...mpola zani...habari zenyu bwanshee...saita...ndaga fijo naloli na fuso...

Napenda kutumia fursa hii kuelezea furaha yangu kwamba baada ya kimya cha muda mrefu sasa nimerudi tena Jukwaani katika mtaa huu maarufu sana hapa bongo.. wa JF.

Nimewakumbuka sana wadau wote tuliokuwa tukishirikiana hapa jukwaani katika kusukuma mbele gurudumu la maendeleo yetu binafsi.

Nimetumwa salamu kwa wote lakini naomba hawa wachache wawakilishe wengi;

Filipo Asprin (michepuko sio dili mzee mwenzangu) charminglady Mtambuzi(baba ngina dawa ya deni ni kulipa) WiseLady miss strong (nakuwowa mke wa pili hivi karibuni) Excel (tata mbuyaole) Baba V (heshima yako mwenye kigoda au mapinduziiii yamekupitia?) Arushaone (shee..mswati upo?) KOKUTONA (ije nkubwile) Dark City (heshima yako babu yao) Madame B (miss you mbaya binamu Mamndenyi (nakuweka kiporo) watu8 mwekundu (tatu ndio habari ya mujini) mayenga Ben Mugashe ladyfurahia platozoom gfsonwin cacico Cantalisia Kaizer Bujibuji (...) Elizabeth Dominic Nivea King'asti (mtoto wa mzee mtambuzi nasikia umepata mchumba mkurya) Dena Amsi Sabayi marejesho (shemejiiiiii) PakaJimmy LiverpoolFC Evelyn Salt (...)

Karibuni woooote muonje DAY SPECIAL YA LEO - "KICHURI":grouphug::grouphug::grouphug::welcome::welcome::welcome:
 
Last edited by a moderator:
King'asti,
Huyu dogo alikuwa kwenye bunge la katiba ndo wale waliotoroka darasani, ila hayo tuyaache;
Ninaguswa sana na moyo wa upendo wako kwangu kutokana na msiba huoo wa huyo muke mwenza;
Yaani usiseme ni majonzi;
Mwita Maranya najua anakijua vizuri sana kijiwe changu,
haitakuwa mbaya akakuja na hiyo rambirambi, ila mwambie tu iwe ni pesa,
asije akaleta mahindi ya kupikia kande;

uwe unaaga basi baba?

yaani mie mchumba mkurya hata akinisalimia staki na staki anizoee. niko na mchumba wangu paw manake najua michepuko na michipuko sio dili aisee. you were missed.

(umbea: kwani uliendaga wapi? mwenzio Mamndenyi alifiwa, umpe rambirambi)
 
Last edited by a moderator:
hehehe, tuko pamoja mwaya lol (sorry kicheko kimeponyoka). hadi tumemaliza arubaini na sitini, lazma tupate kavitz kakujipoozea, tulia mama.:smile-big:

akileta mahindi ya kande aje na mtungi wa gesi, jiko la plate 4 lenye oven, siagi, karoti na hoho. Asisahau coca cola ya kushushia ama majani ya chai na sukari.

cc Mwita Maranya.

Back
Top Bottom