Hatimaye nimerudi mjengoni

Hatimaye nimerudi mjengoni

Kwema humu???!
Baada ya kufutiwa account ya Yna4 hatimae nimerudi tena..siku mbili bila JF wallah homa ilikua yaninyemelea.

Ila kama kuna mtu aliamua kutengeneza email na kuwafuata mods kuwaambia wafute account yangu..yote kheri.



Sent using Jamii Forums mobile app
SAMAHANI MKUU JINA LAKO LINATAMKWA VP
 
Back
Top Bottom