ustadhijuma
JF-Expert Member
- Jul 20, 2015
- 3,133
- 2,118
Hongera Mkuu!! Mungu akufungulie milango la rizki
Mi sijalaumu popote, nimeuliza tu.unadhani kuna anayeichukia nchi yake? Watu tumekuja kutafuta hapa. Kwa mfano nirudi nyumbani Leo hii nitaanza wapi? Wakati nimejiestablish hapa na bado malengo yangu hauajatimia? Na kupewa permanent residence siyo umeukana uraia wako? Ila ina benefits nyingi sana. Homu ni homu tu hata kama inatawalia na mafisi. Mbona wasomali wa mogadishu wanaoishi Ughaibuni kila siku wanariski kusafiri mogadishu licha ni hatari si salama?
Ungenilaumu tu labda Kwa kukana aidentinti yangu kitu ambacho sitaweza kamwe maamae
Sawa mkuu.si kila anayeishi nje amekimbia kwao,wakazi wengi wa dar ni wahamiaji kutoka mikoa mengine,inamaana na wao wamekimbia makwao?,watu wanatafuta maisha kokote
wanaiprocess niniii? Huko nchi gani mkuu
Wakati naandika Thesis miaka ya nyuma moja ya kitu niliigusia ilikuwa ni Neo-colonialism. Watu weusi tunaangamia kwa kukosa maarifa. Miaka ya 1800s watumwa walikuwa wanachukuliwa kwa nguvu na kwenda kuuzwa ...2017 watumwa wanatafuta Visa na kujilipia nauli kwenda kujisalimisha utumwani. Hongera mkuu kwa kupata haki yako uliyoipigania miaka kibao ya kuwa "Mtumwa wa Kudumu" Ughaibuni.
Kwamba apige box.... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Piga box, piga box. Huku Bongo bado michosho. Mtu ana nguvu na nia ya kufanya kazi ila hakuna opportunity hizo...
mkuu nashukuru kwa nasaha nisamehe kwa lugha ya maudhiMi sijalaumu popote, nimeuliza tu.
Kumbe kuikimbia nchi ni ushujaa ?
Naona umejibu vizuri kidogo, tatizo ni kama una hasira kwa kusema hata kama nchi inatawaliwa na "mafisi"
Huku nyumbani ulikozaliwa, hatujawahi kuchagua mafisi kuwa viongozi wetu.
Utaratibu huo labda uko huko ulaya ulikopata ruhusa ya ukazi wa kudumu.
Mwisho umehitimisha na kaneno "maamae"
Kumbe huko Ulaya mnatukanana mnapozungumza na majirani zenu..!
Kweli vyeti feki havijawahi kimwacha mtu salama.
Ukistaafu karibu nyumbani.
Kuosha sahani mkuu ni shilling elfu hamsini kwa saa. NARUDIA KUOSHA SAHANI NI SHILLINGI ELFU HAMSINI KWA SAAMshamba wa Mikoani hachoki kuitangazia dunia kalamba bingo ya kuosha mavi na sahani Ulaya.
mkuu kwanini uliikimbia bonge la nchi? Dah Australia napapenda sana ninaham ya kufika huko siku mojaukiwa na ukwasi,kama huna uwezo bongo nyoso,najuta uamuzi wa kurudi mazima,ila mwaka huu hauishi inshaalah,australia here i come
Ata yeye anaipenda mkuu ila life halichagui ndio maana tuko nae humu anapiga story kila kukicha kwangu mimi mpambanaji kama huyu asiye iba jasho la mtu ni shujaa ni alama ya hustlers wote kitaa tunabyofight kutokaKumbe kuikimbia nchi yako uliyozaliwa ni jambo la kishujaa.
Ni ajabu na kweli.
Kwahiyo kungekuwa na fursa pana ya kupewa uraia wa huko, watanzania wote tuhamie Ulaya.
Naipenda nchi yangu Tanzania na sitofanya jaribio la kuikimbia milele daima.
Nchi Yangu Tanzania,
Nakupenda Kwa Moyo Wotee..
Ni kweli, mimi nilidhani ameukana kabisa uraia wa nchi yake tanzania na kulowea ulaya.Ata yeye anaipenda mkuu ila life halichagui ndio maana tuko nae humu anapiga story kila kukicha kwangu mimi mpambanaji kama huyu asiye iba jasho la mtu ni shujaa ni alama ya hustlers wote kitaa tunabyofight kutoka
Sent from my SM-N9005 using JamiiForums mobile app
Kuosha sahani mkuu ni shilling elfu hamsini kwa saa. NARUDIA KUOSHA SAHANI NI SHILLINGI ELFU HAMSINI KWA SAA
mkuu sikuwa australia,nililuwa Asia(china,singapore,hk),nkarudi kujenga taifa,sasa ndo nimepata mchongo wa Australia bado najaribu kutathmini maslahi nkijiridhisha nasepa fasta.lile bichi halijawahi mtupa mtumkuu kwanini uliikimbia bonge la nchi? Dah Australia napapenda sana ninaham ya kufika huko siku moja
[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]Kuhusu li-noah lako uskonde. Ntakuchukulia utalikuta makini kabisa na katika umaridadi wake! Bravo Copenhagen DN