Hatimaye nimepewa Permanent Residence

Hatimaye nimepewa Permanent Residence

Mpambanaji, hongera kaka, kila la kheri, ila usisahau kuwekeza huku basi...(ukiweza)..
 
Hongera sasa fanya kazi na uwe mwema ili uombe uraia kabisa na upewe bila longolongo.
 
Mzuqa wanaJamvi!

Siyo big deal kivile ila am relieved.

Eventually these dudes (D Immigration) have granted me permanent residence. Ningeipata long time tu ila niliharibu kidogo kipindi cha nyuma.

Nilikuja Denmark early 2009 nililetwa hapa nilikuwa bado kijana mdogo sana.

Ukiondoa Denmark nchi nilizoishi nakufanya kazi skendinevia Sweden (Malmo), Norway ( Oslo, Bergen na Trondheim) na Icelend.

Hizi njemba zilidhamiria sana kunideport ila niliwashinda mahakamani.

Wengi hapa wanajua mimi ni Mgambia kwasabab ndio kampani yangu hadi Gambia na Senegal nimeshawahi kufika.

IT IS A SKILL TO BE PATIENT, LEARN IT!

Sky Eclat Bowie barafu mrangi Yamakagashi Al-Watan UncleBen (Che) Benny
Sawa mkuu Ushao ngozi nyeupe>?
 
Mkuu bufa usione gere

Post sent using JamiiForums mobile app
Sioni gere bali nasema ukweli, naelewa adha ya kutafuta permit na furaha inayokuja nayo.

Kama alienda ughaibuni 09' ndo kapata permit leo, huo ni muda mrefu sana kachukua hadi kupata, huwa nawaambia watu wasizidi miaka 3 hadi kuwa legal residence. Pili, kama aliwahi kukutwa na hatia ya kufanya kosa ina maana alikuwa anaishi kijanja janja muda wote huo kama mwenyewe alivyosadiki na kuishia kuhama hama kila nchi kukimbia mkono wa dola. Hapo ndo nimesema alikua anaishi kama kibaka kijanja janja, huo ndo uvumilivu ambao me sina wakuishi kimacharechare.
 
Usisahau kuchanganya damu, ila tunakuomba watoto walete huku Bongo maana tunakampeni ya kufuta hiki kizazi... Watoto wako wakifanya yao hapa basi angalau tunaweza tukaokota kizazi cha watu kama 50 wenye akili za wazungu. Pia ukipata nafasi Tutafutie mabinti kama 20-50 waje wabebe ujauzito huku na pia vidume 20-50 vije viache mimba huku angalau tupate akili mpya... Binafsi nimeshaleta wachina na waustralia kadhaa na si haba matunda nayaona..
 
Asante kwa taarifa

Sent from my TECNO-C7 using JamiiForums mobile app
 
Mzuqa wanaJamvi!

Siyo big deal kivile ila am relieved.

Eventually these dudes (D Immigration) have granted me permanent residence. Ningeipata long time tu ila niliharibu kidogo kipindi cha nyuma.

Nilikuja Denmark early 2009 nililetwa hapa nilikuwa bado kijana mdogo sana.

Ukiondoa Denmark nchi nilizoishi nakufanya kazi skendinevia Sweden (Malmo), Norway ( Oslo, Bergen na Trondheim) na Icelend.

Hizi njemba zilidhamiria sana kunideport ila niliwashinda mahakamani.

Wengi hapa wanajua mimi ni Mgambia kwasabab ndio kampani yangu hadi Gambia na Senegal nimeshawahi kufika.

IT IS A SKILL TO BE PATIENT, LEARN IT!

Sky Eclat Bowie barafu mrangi Yamakagashi Al-Watan UncleBen (Che) Benny


Duh! Kwa hiyo ndo unaanza maisha sasa? Tangu 2009? Kweli kuna njia nyingi za kufika Roma!
 
Kaka umeoa? hahah nakutania mwayego.

Hongera sana
 
Usisahau kuchanganya damu, ila tunakuomba watoto walete huku Bongo maana tunakampeni ya kufuta hiki kizazi... Watoto wako wakifanya yao hapa basi angalau tunaweza tukaokota kizazi cha watu kama 50 wenye akili za wazungu. Pia ukipata nafasi Tutafutie mabinti kama 20-50 waje wabebe ujauzito huku na pia vidume 20-50 vije viache mimba huku angalau tupate akili mpya... Binafsi nimeshaleta wachina na waustralia kadhaa na si haba matunda nayaona..
Mimi nimeshaleta watoto wenye damu ya Norway watatu,maana hiki kizazi chetu kina laana sio bure,mtu amesoma mpaka PhD upeo wake wa kufikiri kama mtoto wa nursery school
 
Mimi nimeshaleta watoto wenye damu ya Norway watatu,maana hiki kizazi chetu kina laana sio bure,mtu amesoma mpaka PhD upeo wake wa kufikiri kama mtoto wa nursery school

Safi sana, tuwashuri na dada zetu wa JF wajitahidi nao kuzaa kuzaa na ngozi nyeupe kwa fujo ili tuzidi kuongeza idadi...

Nafikiri mbongo zetu zinashida ya kuelewa chochote kinachohusiana na shule au maendeleo popote pale duniani..
 
Mkuu vipi na hii ya kuzungumza ki Swedish tu ukiwa Sweden ni kweli kiingereza kwao ni lugha gongana kama hapa bongo ilivyo? Nisaidie jibu tafadhari.
 
Hongera sana braza Mungu aendelee kukufanyia wepesi katika kila jambo gumu lililo mbele yako
 
Back
Top Bottom