Hatimaye nimepewa Permanent Residence

Hatimaye nimepewa Permanent Residence

Sawa tumekujua.... wanaotaman nnje ya bongo utawapta... ila born here here... aaah aaah aaah

Sent from "La -Vista"
 
Kumbe kuikimbia nchi yako uliyozaliwa ni jambo la kishujaa.

Ni ajabu na kweli.

Kwahiyo kungekuwa na fursa pana ya kupewa uraia wa huko, watanzania wote tuhamie Ulaya.

Naipenda nchi yangu Tanzania na sitofanya jaribio la kuikimbia milele daima.

Nchi Yangu Tanzania,
Nakupenda Kwa Moyo Wotee..
Acha uongo bhana. Sema umeshindwa tu kupata nafasi ila ukiipata hutakaa bongo
 
Wakati naandika Thesis miaka ya nyuma moja ya kitu niliigusia ilikuwa ni Neo-colonialism. Watu weusi tunaangamia kwa kukosa maarifa. Miaka ya 1800s watumwa walikuwa wanachukuliwa kwa nguvu na kwenda kuuzwa ...2017 watumwa wanatafuta Visa na kujilipia nauli kwenda kujisalimisha utumwani. Hongera mkuu kwa kupata haki yako uliyoipigania miaka kibao ya kuwa "Mtumwa wa Kudumu" Ughaibuni.
Mbona hata hapa nyumban tumekuwa watumwa?
Mwalm mshahara kiduchu kodi juu mpaka kodi ya jengo wakat matunda ya kodi hayaonekani.

Mfanyabiashara kodi kama utitiri huku eneo la kufanyia biashara anafukuzwa.

Mtanzania akikosa anajifanya hataki wakat anataka. Bora kuwa mtumwa ugenini kuliko kuwa mtumwa nyumban kwako.
Mwache jamaa ale fursa maisha ni hayahaya
 
Rais Maguguli, Hizo noa zetu zikija, Tafadhari sana wanaoishi nje ya Nchi wote hao wasipewe hizo noa kwanza sio wazalendo ,wataikimbiaje Nchi na kwenda kujenga Nchi za watu? Hao ni wasaliti hawastahili Kupata hata mkokoteni achilia mbali noa
 
Back
Top Bottom