asilimia kubwa ya raia wa nchi za skendinevia wanafaham EnglishMkuu vipi na hii ya kuzungumza ki Swedish tu ukiwa Sweden ni kweli kiingereza kwao ni lugha gongana kama hapa bongo ilivyo? Nisaidie jibu tafadhari.
HIZO SAHANI ZINAOSHWA KWA MASAA MANGAPI? NA NI NYINGI KIASIGANI? Ulaya kwa kazi hizo huwezi kumiliki hata kitanda, mnaona nom kurudi bongo coz mliotuacha tushatusua kitambo....... nyie bakini kuolewa na vikongwe2Kuosha sahani mkuu ni shilling elfu hamsini kwa saa. NARUDIA KUOSHA SAHANI NI SHILLINGI ELFU HAMSINI KWA SAA
Hivyo sasa utabeba mabox kwa uhuru zaidi? (Just joking)Mzuqa wanaJamvi!
Siyo big deal kivile ila am relieved.
Eventually these dudes (D Immigration) have granted me permanent residence. Ningeipata long time tu ila niliharibu kidogo kipindi cha nyuma.
Nilikuja Denmark early 2009 nililetwa hapa nilikuwa bado kijana mdogo sana.
Ukiondoa Denmark nchi nilizoishi nakufanya kazi skendinevia Sweden (Malmo), Norway ( Oslo, Bergen na Trondheim) na Icelend.
Hizi njemba zilidhamiria sana kunideport ila niliwashinda mahakamani.
Wengi hapa wanajua mimi ni Mgambia kwasabab ndio kampani yangu hadi Gambia na Senegal nimeshawahi kufika.
IT IS A SKILL TO BE PATIENT, LEARN IT!
Sky Eclat Bowie barafu mrangi Yamakagashi Al-Watan UncleBen (Che) Benny
Ni bora kuwa slave ugenini kuliko kuwa slave nyumbaniYaani mtu mzima unashangilia na kuutangazia Ulimwengu ya kwamba umefutahi hatimaye umekuwa "Permanent Slave" huko Ughaibuni !!!???? Yaani unashangilia kuwa MTUMWA wa kudumu !!!???
Ama kweli mijitu ya Afrika tuna laana ya sayari zote. Pathetic!
Na haya maneno yanatoka kwa "Prince KUNTA"!!!!?????? Shocking ......Nooooooooot.Ni bora kuwa slave ugenini kuliko kuwa slave nyumbani
Hongera mkuu kwa kupata PR
Mzuqa wanaJamvi!
Siyo big deal kivile ila am relieved.
Eventually these dudes (D Immigration) have granted me permanent residence. Ningeipata long time tu ila niliharibu kidogo kipindi cha nyuma.
Nilikuja Denmark early 2009 nililetwa hapa nilikuwa bado kijana mdogo sana.
Ukiondoa Denmark nchi nilizoishi nakufanya kazi skendinevia Sweden (Malmo), Norway ( Oslo, Bergen na Trondheim) na Icelend.
Hizi njemba zilidhamiria sana kunideport ila niliwashinda mahakamani.
Wengi hapa wanajua mimi ni Mgambia kwasabab ndio kampani yangu hadi Gambia na Senegal nimeshawahi kufika.
IT IS A SKILL TO BE PATIENT, LEARN IT!
Sky Eclat Bowie barafu mrangi Yamakagashi Al-Watan UncleBen (Che) Benny
Mzuqa wanaJamvi!
Siyo big deal kivile ila am relieved.
Eventually these dudes (D Immigration) have granted me permanent residence. Ningeipata long time tu ila niliharibu kidogo kipindi cha nyuma.
Nilikuja Denmark early 2009 nililetwa hapa nilikuwa bado kijana mdogo sana.
Ukiondoa Denmark nchi nilizoishi nakufanya kazi skendinevia Sweden (Malmo), Norway ( Oslo, Bergen na Trondheim) na Icelend.
Hizi njemba zilidhamiria sana kunideport ila niliwashinda mahakamani.
Wengi hapa wanajua mimi ni Mgambia kwasabab ndio kampani yangu hadi Gambia na Senegal nimeshawahi kufika.
IT IS A SKILL TO BE PATIENT, LEARN IT!
Sky Eclat Bowie barafu mrangi Yamakagashi Al-Watan UncleBen (Che) Benny
Haituhusu ni yakwako hiyo....Mzuqa wanaJamvi!

Mambo yamebadilikaNa haya maneno yanatoka kwa "Prince KUNTA"!!!!?????? Shocking ......Nooooooooot.
Ni hela mbuzi kweli ila afadhali amepata hata hiyo kazi ya kuingiza hela mbuzi.hapa tz hata hizo kazi za hela mbuzi hakunaWewe mi mshamba na utaendelea kuwa mshamba maisha yako yote. Kumbuka hiyo elfu 50 kwa saa unalipwa huko Denmark na viwango vya maisha ni vya huko. Hiyo ni hela mbuzi kwa viwango vya huko.
am half Danish...tuliaa weweeeHaituhusu ni yakwako hiyo....
Unajivunia kuwa mtumwa naona!Mzuqa wanaJamvi!
Siyo big deal kivile ila am relieved.
Eventually these dudes (D Immigration) have granted me permanent residence. Ningeipata long time tu ila niliharibu kidogo kipindi cha nyuma.
Nilikuja Denmark early 2009 nililetwa hapa nilikuwa bado kijana mdogo sana.
Ukiondoa Denmark nchi nilizoishi nakufanya kazi skendinevia Sweden (Malmo), Norway ( Oslo, Bergen na Trondheim) na Icelend.
Hizi njemba zilidhamiria sana kunideport ila niliwashinda mahakamani.
Wengi hapa wanajua mimi ni Mgambia kwasabab ndio kampani yangu hadi Gambia na Senegal nimeshawahi kufika.
IT IS A SKILL TO BE PATIENT, LEARN IT!
Sky Eclat Bowie barafu mrangi Yamakagashi Al-Watan UncleBen (Che) Benny
bora Kuwa mtumwa hapaUnajivunia kuwa mtumwa naona!
Kuliko kuwa bavicha bongo! Bavicha inazidi kupukutika!bora Kuwa mtumwa hapa
Nafarijika kuskia mtz mwenzetu unatuwakilisha vzr kwenye maboxboks tutapiga mkuu. Ila sasa hivi kwenye boksi kuna competition na ma eastern Europeans. Yanapewa kipa umbele